Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO ATOA SIKU SABA KUFUNGWA KWA GHALA LA KUHIFADHI KEMIKALI YA SULPHUR

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na viongozi wa ghala la kuhifadhi kemikali ya Sulphur la kampuni ya African Inland Logistics ltd iliyopo mtaa wa Mamboleo kata ya Sandari Temeke Jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ziara kwenye ghala hilo leo Aprili 9,2022.  

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa na baadhi ya watumishi wa Baraza la Taifa la  Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wakitazama ghala la kuhifadhi kemikali ya Sulphur la kampuni ya African Inland Logistics ltd iliyopo mtaa wa Mamboleo kata ya Sandari Temeke Jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ziara kwenye ghala hilo leo Aprili 9,2022.   

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungmza na wananchi wanaoishi karibu na ghala la kuhifadhi kemikali ya Sulphur la kampuni ya African Inland Logistics ltd iliyopo mtaa wa Mamboleo kata ya Sandari Temeke Jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ziara kwenye ghala hilo leo Aprili 9,2022.  Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akikagua roli lililokuwa limebeba kemikali ya Sulphur la kampuni ya African Inland Logistics ltd iliyopo mtaa wa Mamboleo kata ya Sandari Temeke Jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ziara kwenye eneo hilo leo Aprili 9,2022. 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akikagua roli lililokuwa limebeba kemikali ya Sulphur la kampuni ya African Inland Logistics ltd iliyopo mtaa wa Mamboleo kata ya Sandari Temeke Jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ziara kwenye eneo hilo leo Aprili 9,2022.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiumwagikaji wa kemikali ya Sulphur ya kampuni ya African Inland Logistics ltd iliyopo mtaa wa Mamboleo kata ya Sandari Temeke Jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ziara kwenye eneo hilo leo Aprili 9,2022. Kemikali ya Sulphur ikiwa kwenye ghala la uhifadhi kemikali hiyo.

*************************

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametoa siku saba kufungwa kwa ghala la kuhifadhi kemikali ya Sulphur ili waone ni namna gani wanaweza kudhibiti kemikali hiyo isiweze kuwadhuru wnanchi waliopo karibu na ghala hilo.

Ametoa agizo hilo leo Aprili 9,2022 mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika mtaa wa Mamboleo kata ya Sandari Temeke Jijini Dar es Salaam na kusikiliza kero kwa wananchi kuhusu ghala hilo.

“Nasimamisha shughuli zote katika ghala hili kwa muda wa siku saba, lakini mkiweka miundombinu inayolinda mazingira kabla ya muda huo shughuli zenu zinataendelea. Wananchi wanaangaika, wanateseka nanyi hamjari hilo sasa kama hamtajirekkebisha kwa muda huo shughuli zote zitasitishwa kabisa”. Amesema Waziri Jafo.

Waziri Jafo amesema kuna umuhimu wa kampuni hiyo kufanya tathimini ya mazingira ili kuhakikisha kwamba katika shughuli ambayo wanaifanya haiwezi kuathiri mazingira kwa njia yoyote ile.

Kwa upande wake Meneja wa NEMC kanda ya Kusini Mashariki Bw.Hamad Taimuru amesema kiwanda hicho kinatakiwa kutumia mifuko maalumu ya kufungashia kemikali hiyo ili pale Maroli yakiwa yanabeba kemikali ya sulphur isiweze kumwagika na kuweza kuleta madhara kwa wananchi.

Hata hivyo kwa upande wa wananchi kwa ujumla wamemshukuru Waziri Jafo kwa kuweza kutembelea eneo hilo hivyo matumaini yao kushuhudia changamoto hizo wanazozipata zitashughulikiwa na kuondokana na kero hiyo.

About the author

Alex Sonna