Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ASHIRIKI MAZISHI YA ALIYEKUWA SPIKA WA UGANDA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Uganda Mhe. Yowel Museven (wa kwanza kushotoa aliyevalia kofia), akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) katika Viwanja vya Kololo, Jijini Kampala Nchini Uganda wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda Mhe. Jacob Oulanyah aliyefariki dunia Machi 20, 2022 Nchini Marekani, alipokuwa akipatiwa matibabu.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akifuatilia ratiba ya mazishi ya aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda Mhe. Jacob Oulanyah katika Viwanja vya Kololo, Jijini Kampala Nchini Uganda. Jacob alifariki dunia Machi 20, 2022 Nchini Marekani, alipokuwa akipatiwa matibabu.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiweka shada la maua katika jeneza la aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda Mhe. Jacob Oulanyah katika Viwanja vya Kololo, Jijini Kampala Nchini Uganda. Jacob alifariki dunia Machi 20, 2022 Nchini Marekani, alipokuwa akipatiwa matibabu.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwa ametoka kuweka shada la maua katika jeneza la aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda Mhe. Jacob Oulanyah katika Viwanja vya Kololo, Jijini Kampala Nchini Uganda. Jacob alifariki dunia Machi 20, 2022 Nchini Marekani, alipokuwa akipatiwa matibabu.

 

PICHA NA OFISI YA BUNGE

About the author

mzalendoeditor