Farida Mangube-MOROGORO
TMUE ya Haki za Binadamu imeipongeza serikali kwa kuridhia mapendekezo 187 yaliyotolewa na tume hiyo ikiwemo uhuru wa vyombo vya habari na haki ya moto wa kike kupata elimu hususana wale wanao acha masoma kutokana na kupata ujauzito wawapo masomoni.
Hayo yameelezwa na Mkurugenzii wa kituo chakituo cha sharia kupinga ukatili wa kijinsia Bi Sophia Komba mkoani morogoro alipo kuwa akizindua kikao kazi kilicho wahusisha wadau wa tume za hakiza binadamu na mtandao wa kupinga ukatili wa kijinsia na wadau mbalimbali wa serikali.
Amesema mwanzo watoto wa kike wanao acha shule kwajili yaku pata ujauzito walikuwa hawapati haki ya kupata elimu , hivyo baada ya serikali kukubali pendekezo la kurudi shule watoto wa kike wanao acha shule kwajili ya ujauzito litasaidia serikali kuongeza nguvu kazi kwa wanawake kwani serikali ilikuwa inapoteza nguvu kazi.
Bi.Komba amesema kuwa Serikali itaendelea kufanya malekebisho mbalimbali kwenye mapendekezo yaliyo tolewa hasa kwa upande wa vyombo vya habari ilikusaidia kupata taarifa zenye ukweli na zilizo fanyiwa uchunguzi wa kina ilikusaidia wananchi kupata taarifa za uhakika.
”Unyimwaji wa haki za kujieleza na uhuru wa kutoa habari ilikuwa inanyima uhuru wa wandishi wa habari na wananchi kupata taarifa hivyo kwa kukubali mapendekezo yaliyo tolewa itasaidia wananchi kupata habari kwa urahisi”amesema Bi.Komba
kwa upande wake Mkurugenzi wa Idara za huduma za sheria kutoka tume za haki za binadamu na utawala bora Nabo Assey amesema serikali itaendelea kupokea na kufanya maboresho ya mapendekezo yaliyo tolewa kwa kufata sharia zote za nchi
Amesema kama kituo cha tume za haki za binadamu na utawala bola inaipongeza serikali kwa kupiga hatua kubwa kwa kupokea mapendekezo hayo hivyo itaendelea kuishauri serikali na kutathimini namna gani serikali itakavyo weza kusimamia mapendekezo hayomapendekezo yaliyo kataliwa na ku k mapendekezo mbalimbali