Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO APRIL 5,2022 DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2022.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2022.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2022.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stagomena Tax, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akimuapisha Mheshimiwa Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge, bugeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor