Featured Kitaifa

NILIANDAMWA NA MIKOSI YA KUIBIWA BODABODA

Written by mzalendoeditor

Naitwa Kassimu mkazi wa Tanga, ni dereva Pikipiki maarufu kama Bodaboda, nimefanya kazi hii kwa miaka sita sasa lakini changamoto nilizokutana nazo ni kubwa mno kuliko mwenzangu. 

Wakati naanza kazi hii sikuwa na Bodaboda yangu bali nilikuwa nafanya kazi kwa Bosi mwenye Pikipiki na jioni nampelekea fedha zake kwa jinsi tulivyokubaliana na kinachobaki ndicho kinakuwa changu. 

Nilipata mteja mmoja wakati wa jioni akaniomba nimpelekea safari ya mbali kidogo, kumbe alikuwa ni mwizi, bila kujua tulianza safari, baada mwendo wa kama saa moja na nusu hivi giza likawa limeingia na sehemu tuliyokuwa tunaelekea kulikuwa hakuna makazi ya watu. 

Tulifika sehemu yule mteja akaniomba nisimame aweze kuongea na simu, ghafla walitokea watu kadhaa na kuanza kunishambulia hadi kunipora Bodaboda yangu kisha wakaondoka. Nilikaa eneo lile kwa muda hadi nilipopata msaada wa kurejeshwa nyumbani nikiwa nimechoka na sana majereha. 

Nilimueleza Bosi wangu yaliyonikuta akanielewa akanipa Bodaboda nyingine maana nilikuwa ni mfanyakazi mzuri sana, nikaanza tena kazi ile. Hata hivyo, haikuisha miezi mitatu, niliibiwa tena Bodaboda ile nikiwa kijiweni kwetu, nilimueleza Bosi wangu akachukia sana na kuamua kunifukuza kazi, nilijua anaweza kunishtaki lakini hakuweza kufanya hivyo.

Katika kupambana niliweza kupata Bodaboda ya mkopo ambayo nilitakiwa kulipia kiasi fulani hadi deni litakapomalizika ndani ya mwaka mmoja. Nilifanya kazi na Bodaboda ile kwa kipindi cha miezi 10 nayo ikawa imeibiwa tena nikiwa nimeipaki nyumbani kwangu ambapo niliamini usalama ni mkubwa. 

Hapo ndipo nikagundua kuna mkosi unanifuatilia katika maisha yangu hasa upande wa kazi yangu ya Bodaboda, nilianza kutafuta usaidizi ili kukomesha hali hiyo mara moja. Nakumbuka siku moja nikiwa naperuzi mtandaoni ndipo nikaipata tovuti ya www.kiwangadoctors.com, huku nikapata namba ya mtu anaitwa Dr. Kiwanga ambayo ni +254 769404965. 

Mara moja niliwasiliana naye na kumueleza shida yangu ambayo ni mikosi ya kuibiwa Bodaboda kila mara, alinihakikishia kuwa tangu siku hiyo nilipowasiliana naye ndipo utakuwa mwisho wa mimi kuibiwa Bodaboda. 

Nilirejea tena kwenye kazi ile nikiwa na matumaini tele, cha kushangaza niliweza kuipata ile Bodaboda yangu ya mwisho ambayo ilikuwa nimebakiza miezi miwili iwe yangu, niliendelea na kazi na kumaliza deni lake. 

Bodaboda ile nilimkabidhi kijana mwingine afanye nayo kazi, kisha mimi nikaenda kuchukua nyingine mbili za mkopo na kumpatia tena kijana mwingine na hiyo moja nikawa mimi ndio nafanyia kazi. Hadi sasa nina Bodaboda tano na hakuna hata moja imewahi kuibiwa tena tangu nilipopata tiba kwa Dr. Kwanga. 

Kumbuka Dr. Kiwanga ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda katika michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara. 

Pia anatibu magonjwa kama Kaswende, Kisonono, Kifua Kikuu, Presha na mengine mengi, kwa mawaziliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com, tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com au piga simu +254 769404965.

About the author

mzalendoeditor