Featured Kitaifa

BUNGE KURUSHWA LIVE NA VYOMBO VYA HABARI

Written by mzalendoeditor

 

 Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, akizungumza na Waandishi wa habari leo Aprili 4, 2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma.

 Katibu Nenelwa amesema baada ya maboresho ya Studio ya Bunge, Kamati ya Uongozi ya Bunge imeridhia Vikao vya Bunge vitaanza kurushwa live kuanzia kesho tarehe 5 Aprili, 2022 wakati wa Mkutano wa 7 wa Bunge ambao ni mahsusi kwa ajili ya kupitisha Bajeti ya Serikali.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor