RATIBA ya Michuano ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar imetolewa na FIFA katika makundi nane na kila kundi lina timu nne huku Timu za Afrika zikipangwa na vigogo wa soka Duniani.
A:Qatar,Ecudor,Senegal na Uholanzi
B:England,Iran,Marekani na Euro play -Off
C:Argentina,Saudi Arabia,Mexico na Poland
D:France,Denmark,Tunisia na IC Play-Off
E:Espania,Ujeruman,Japan na IC Play-Off
F:Ubelgiji,Morocco,Croatia na Canada
G:Brazil,Serbia,Switzerland na Cameroon
H:Ureno,Ghana,Uruguary na Korea Kusini