Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

meritking

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

starzbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

pusulabet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO AITAKA TFS KUANZISHA VITALU MASHULENI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na wadau mbalimbali wa mazingira na wanafunzi wakati wa uzinduzi wa Kampeni ‘Urithi wa Kijani Gairo’ katika viwanja vya Shule ya Sekondari Gairo wilayani humo mkoani Morogoro Machi 30, 2022.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizindua Kampeni ‘Urithi wa Kijani Gairo’ katika viwanja vya Shule ya Sekondari Gairo wilayani humo mkoani Morogoro Machi 30, 2022.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela Dkt. Selemani Jafo akizungumza na wadau mbalimbali wa mazingira na wanafunzi wakati wa uzinduzi wa Kampeni ‘Urithi wa Kijani Gairo’ katika viwanja vya Shule ya Sekondari Gairo wilayani humo mkoani Morogoro Machi 30, 2022.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akishiriki na viongozi mbalimbali na mabalozi wa mazingira katika matembezi kuelekea katika viwanja vya Shule ya Sekondari Gairo kwa ajili ya uzinduzi wa Kampeni ‘Urithi wa Kijani Gairo’ Machi 30, 2022.

Mkuu wa Wilaya ya Gairo Jabiri Makame akitoa taarifa kuhusu Kampeni ‘Urithi wa Kijani Gairo’ katika viwanja vya Shule ya Sekondari Gairo wilayani humo mkoani Morogoro Machi 30, 2022.

 (PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

………………………………………………………….

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametoa wito kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kuanzisha vitalu vya miche ya miti katika shule za msingi na sekondari nchini.

Ametoa wito huo wakati akizungumza Machi 30, 2022 kwenye uzinduzi wa Kampeni ya ‘Urithi wa Kijani Gairo’ inayotekelezwa na Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro na kutoa pongezi kwa uongozi wa wilaya na mkoa kwa kuasisi kampeni hiyo.

Waziri Jafo alisema shule zikiwa na vitalu itasaidia kupata miche ya miti kwa wingi ambayo itasambazwa, kuoteshwa na kutunzwa katika halmashauri nchini hatua itakayoifanya Tanzania kuwa ya kijani kama maelekezo ya Serikali yalivyotolewa.

“Ndugu zangu wa TFS niwapongeze sana kwa kuwezesha zoezi la upandaji miti kwani nimepita maeneo mengi nimeona mmefanya kazi, niwapongeze pia mabalozi wetu wa mazingira mnajituma sana kuikijanisha nchi yetu.

Sasa niwaombe TFS hakikisheni mnazipatia miche shule za msingi na sekondari, lengo letu ni kuwa halmashauri zote 184 zikipanda miti milioni moja na nusu kila moja basi tutakuwa tumepanda miti takriban milioni 276 kila mwaka,” alisema.

Waziri Jafo alisema kuwa suala la mazingira halina mjadala ni ajenda yetu sote na ndio maana Serikali imetoa maelekezo kuhusu kila mtu au taasisi kushiriki katika utunzaji wa mazingira.

Alisema kuwa Mkoa wa Morogoro una kila sababu ya kuhakikisha mazingira yanatunzwa kwa kuwa kuna miradi mbalimbali ya kimkakati ukiwemo wa Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere na Kidatu ambalo linahitaji maji wakati wote.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Gairo Jabiri Makame alisema kampeni hiyo mbali ya kutekeleza maelekezo ya Serikali pia inalenga kurejesha hali ya ukijani iliyokuwepo wilayani humo.

Alisema kuwa wilaya hiyo imekuwa ikikabiliwa na uharibifu wa mazingira sambamba na kuongezeja kwa joto hivyo kukawa na umuhimu wa kuwashirikisha wadau mbalimbali kuja na mkakati wa kurejesha asili yake kwa kupanda miti.

Mkuu huyo wa wilaya alisema kutokana na hamasa ya wananchi kumekuwa na uhitaji mkubwa wa miche ya miti hvyo viongozi wilayani humo wanaendelea kuhamasisha wadau kuzalisha miche kwa wingi ili kukidhi mahitaji.

About the author

Alex Sonna