Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA MKURUGENZI WA OPEC FUND IKULU ZANZIBAR.

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi wa OPEC FUND. Dkt. Abdulhamid Al Khalifa. (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na Ujumbe wake,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Ujumbe wa Opec Fund ukiongozwa na Mkurugenzi Dkt.Abdulhamid Al Khalifa (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mgeni wake Mkurugenzi wa Opec Fund Dkt.Abdulhamid Al Khalifa (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-3-2022.(Picha na Ikulu) 

About the author

mzalendoeditor