Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

bahiscom

betgit

betgaranti

grandpashabet

grandpashabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

betplay

Hacklink panel

pokerklas

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betzula

betzula giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betzula

betzula giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

meritbet

meritbet giriş

uyuşturucu satın al

xxxx

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

goldenbahis

goldenbahis

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

amgbahis

casibom

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

bets10

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

nerobet

goldenbahis

jojobet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

taksimbet

Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI DK.MOLLEL ATAKA WATAALAM SEKTA YA AFYA KUBORESHA USIMAMIZI WA MIKAKATI YA UCHANGIAJI WA DAMU SALAMA

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ,akizugumza wakati wa  kikao kazi cha kujadili uboreshaji wa uendeshaji wa usimamizi wa huduma za damu salama nchini kilichowakutanisha kwa pamoja Waganga Wakuu wa Mikoa Tanzania Bara pamoja na Watendaji wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama.

Meneja wa Mpango wa Taifa wa Damu Saalama Dkt. Magdalena Lyimo,akizungumza   kwenye kikao kazi cha kujadili uboreshaji wa uendeshaji wa usimamizi wa huduma za damu salama nchini kilichowakutanisha kwa pamoja Waganga Wakuu wa Mikoa Tanzania Bara pamoja na Watendaji wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Wizara ya Afya Dkt. Omary Ubuguyu ,akizungumza wenye kikao kazi cha kujadili uboreshaji wa uendeshaji wa usimamizi wa huduma za damu salama nchini kilichowakutanisha kwa pamoja Waganga Wakuu wa Mikoa Tanzania Bara pamoja na Watendaji wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama Jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel (hayupo pichani) wakati wa  kikao kazi cha kujadili uboreshaji wa uendeshaji wa usimamizi wa huduma za damu salama nchini kilichowakutanisha kwa pamoja Waganga Wakuu wa Mikoa Tanzania Bara pamoja na Watendaji wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama.

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akiwa katika picha ya pamoja na wataalam wa Afya mara baada ya kikao kazi cha kujadili uboreshaji wa uendeshaji wa usimamizi wa huduma za damu salama nchini kilichowakutanisha kwa pamoja Waganga Wakuu wa Mikoa Tanzania Bara pamoja na Watendaji wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama.

……………………………………………..

Na Englibert Kayombo WAF – Dodoma.

Serikali kupitia Wizara ya Afya imewataka watendaji wa Sekta ya Afya nchini kuboresha usimamizi wa shughuli za uhamasishaji wa uchangiaji wa damu salama ili kukidhi mahitaji ya damu salama nchini.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel mapema leo aliposhiriki kwenye Kikaokazi cha kujadili uboreshaji wa uendeshaji wa usimamizi wa huduma za damu salama nchini kilichowakutanisha kwa pamoja Waganga Wakuu wa Mikoa Tanzania Bara pamoja na Watendaji wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama

“Tumeona kuna shida kubwa ya damu, damu haiuzwi wala kutengenezwa, ili tupate damu ni lazima tuhamasishe watu watoe damu” amesema Dkt Mollel na kuongezea kuwa wamekutana kwa pamoja ili wajadiliane na kuja mikakati bora ya kuboresha ukusanyaji wa damu salama pamoja na kujengeana uwezo na kubadilishana uzoefu katika kuhamasiaha zaidi jamii kuchangia damu.

Dkt. Mollel amesema kuwa kipaumbele cha Wizara ya Afya ni kuboresha huduma za afya nchini kwa kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya uhakika na iliyo bora hivyo upatikanaji wa damu salama ni ajenga muhimu katika kufikia malengo ya Wizara.

“Tubadilishane uzoefu wa namna wataalam wenzetu kwenye kanda zetu 8 za damu salama wanavyofanya kazi ikiwa ni pamoja na kusaidiana rasilimali zilizopo na kuhakikisha kuwa tunakusanya damu salama kwa kiwango kikubwa zaidi” amesema Dkt. Mollel.

Aidha Dkt. mollel ameushauri Mpango wa Taifa wa Damu Salama kuendelea kutambua mchango wa wachangiaji damu na kuwa nao karibu ikiwa ni pamoja na kuwasadia pindi wanapohitaji huduma za damu salama.

Kwa upande wake Meneja wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama Dkt. Magdalena Lyimo amesema kuwa lengo la
Serikali ni kuhakikisha huduma za damu salama zinapatikana wakati wote na ili kufanikisha azma ya Serikali wanapaswa kukusanya damu salama ili kutosheleza mahitaji ya nchi.

“Damu Salama ni nguzo muhimu ya utoaji wa huduma za afya, Ili kukidhi mahitaji ya damu hapa nchini tunapaswa kukusanya chupa 550,000 za damu sawa na asilimia moja ya idadi ya wananchi” amesema Dkt. Lyimo.
Dkt. Lyimo amesema kwa Mwaka 2020/21 waliweza kukusanya chupa 330,000 sawa na asilimia 60 ya mahitaji hivyo kuwa na uhaba wa asilimia 40 sawa na chupa 220,000 za damu.

“Kikao hiki kimeitishwa sasa ili tuje kujadiliana na kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha tunaziba hilo pengo la asilimia 40 na kufikisha idadi ya chupa 550,000 za damu kwa kuongeza hamasa zaidi ya uchangiaji damu pamoja na kuendelea kuelimisha jamii juu ya umuhimu wa kuchangia damu” amefafanua Dkt. Lyimo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Wizara ya Afya Dkt. Omary Ubuguyu ameahidi kuboresha zaidi usimamizi wa mikakati iliyowekwa ya ukusanyaji damu na kuwataka wataalam wa afya katika vituo vya kutolea huduma za afya kufanyia kazi maelekezo yote yanayotolewa na Viongozi wa Wizara ikiwa ni pamoja na kuboresha huduma kwa wateja na kuhakikisha kuwa wananchi wanapata huduma bora.

About the author

Alex Sonna