Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua ACI. Hassan Ali Hassan, kuwa Kamishna wa Uhamiaji, Zanzibar. Kabla ya uteuzi huo ACI. Hassan alikuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba.

ACI. Hassan anachukua nafasi ya Kamishna Johari Masoud Sururu ambaye atapangiwa majukumu mengine.

Uteuzi huu unaanza mara moja.

Previous articleKAMATI YA BUNGE YAPITISHA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23
Next articleGEKUL KAZI YA UIGIZAJI INA MCHANGO MKUBWA KATIKA KUHAMASISHA MASUALA YA KITAIFA, WAIGIZAJI WAOMBA CHAMA CHAO KUTAMBULIKA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here