Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

rekabet

matbet

maxwin, maxwin giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

betper

holiganbet

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

lisanslı casino siteleri

jojobet

holiganbet

holiganbet

betpark

maxwin

jojobet

jojobet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

jojobet güncel

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

pusulabet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin giriş

betsat

dinamobet giriş

casibom

casibom

betkolik

goldenbahis

casibom

goldenbahis

casibom

kalebet

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

luxbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pokerklas

betsat

betpark giriş

vdcasino

jojobet

casibom

betsat

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

Uncategorized

WAZIRI DKT.TAX AZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA MZINGA-MOROGORO

Written by Alex Sonna

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) akitoa Hotuba ya Ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Mzinga ufunguzi huo ulifanyika Jijini Tanga.

Meneja Mkuu wa Shirika la Mzinga Brigedia Jenerali Seif Hamisi akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkaribisha Mgeni rami Mheshimiwa Waziri wa Ulinzi na Keshi la Kujenga Taifa kwenye ufunguzi wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Mzinga tukia lililofanyika Jijini Tanga

WAZIRI waziri wa Ulinzi na JKT Dkt. Stergomena Lawrence Tax ) na Ujumbe wake akiwa na viongozi wa Shirika la Mzinga pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Mzinga jijini Tanga.

……………………………………………………………

Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe Dkt. Stergomena Lawrence Tax amefungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Mzinga – Morogoro.

Kikao hicho cha siku moja kimefanyika katika jijini Tanga kikiwa na ajenda ya kupitia Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti kwa Kipindi cha Nusu Mwaka (Julai 2021– Disemba 2022), Maoteo ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2022/23 pamoja na dondoo kutoka kwa wajumbe.

 Dkt. Stergomena aliwakumbusha wafanyakazi hao kujiwekea mipango na mikakati. Mipango itasaidia kujua nini cha kufanya, muda gani na rasilimali gani zinahitajika. Aidha, aliwahakikishia kuwa Wizara itafanya kila liwezekanalo kuwawezesha ili waweze kufikia malengo.
“Pamoja na mafanikio yaliyopatikana upo umuhimu wa kuwa na mipango na mikakati madhubuti itakayoliwezesha Shirika kuhakikisha kuwa ufanisi na mafanikio ni endelevu”amesema

Aidha amesema kuwa ili  jambo liweze kufanikiwa lazima muda wote kuwe na mipango mkakati ya kufanya hivyo. Kwa sababu mipango hiyo inakuwezesha kujua unahitaji kufanya nini, muda gani na unahitaji rasilimali gani na inakuwezesha kujipanga,ili hata sisi kama tunahitajika kuwasaidia tuajua mapema kuwa ni kitu gani kinahitajika, ikiwa ni pamoja kubuni miradi”, alisema.
Kuhusu kufanya utafiti, Mheshimiwa Waziri amebainisha kuwa utafiti ni mingoni mwa majukumu ya msingi ya Shirika. Kwa maana hiyo, wanatakiwa kuibua tafiti mbalimbali kwa kuwa bila kufanya utafiti maendeleo yatasuasua.
“Utafiti ni miongoni mwa mwa majukumu ya msingi ya Shirika la Mzinga , kwa muktadha huo, nachukua nafasi hii kuwakumbusha kuibua na kuendeleza tafiti mbalimbali zitakazoliletea tija Shirika, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Jeshi la Kujenga Taifa, Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama na taifa kwa ujumla. Bila utafiti, iwe ni taasisi, iwe ni taifa maendeleo huwa yanasuasua”, alibainisha.
Tija ya Shirika inapatikana kwa kuwa wafanyakazi kuwa wanakuwa ni sehemu ya maamuzi. Kwa maana hiyo, iangaliwe namna bora ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi. Aidha kuwepo na mpango wa mafunzo na kuongeza tija kwa kuzingatia dira na dhima ya kuanzishwa kwa Shirika.
Awali akitoa taarifa ya Shirika, Meneja Mkuu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, Brigedia Jenerali Seif Athuman Hamisi amesema Shirika la Mzinga ni mojawapo ya mashirika chini ya Wizara ya Ulinzi na JKT, lililoanzishwa tarehe 13 Septemba 1974.
“Shirika la Mzinga ni mojawapo ya mashirika ya JWTZ chini ya Wizara. Ni Shirika la kimkakati linalozalisha mazao ya msingi. Kwa maana hiyo, Shirika hili ni muhimu sana. Mwaka 2024 litakuwa linatimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake kama Shirika la Umma”, alisema.
Kuhusu uzalishaji Brigedia Jenerali Hamisi amesema kuwa muda mrefu tangu kuanzishwa kwake Shirika halikuweza kuzalisha kwa tija kwa kuwa uzalishaji ulishuka, lakini jitihada zimefanyika ambapo kwa miaka miwili mfululizo uzalishaji umeongezea hadi kufikia asilimia 97. Ameahidi kuwa mafanikio hayo yatalindwa na kudumishwa.
“Tuapoazimisha miaka 50 ya Shirika tutahakikisha kuwa maadhimisho hayo yanaendana na tija itakayokuwa imepatikana kwa muda huo. Utendaji wake kiuzalishaji kwa muda mrefu ulishuka kama ilivyokuwa kwa mashirika mengine ya umma. Lakini kwa sasa baada ya jitihada kubwa kufanyika, hadi kufikia mwezi Februari 2022 uzalishaji umeongezeka hadi kufikia asilimia 97”, alisema.
Vikao vya mabaraza ya wafanyakazi ni utekelezaji wa takwa la kisheria ambalo chimbuko lake ni Tamko la Hayati Baba wa Taifa, Mwl. Julius K. Nyerere (Tamko Na. 1 la Mwaka 1970) na Sheria nyingine za kazi za nchi yetu na zile za kimataifa zinazohimiza ushirikishwaji wa wafanyakazi katika kufanya maamuzi mbalimbali kupitia mabaraza ya wafanyakazi. Aidha, Baraza hili ni jukwaa muhimu sana mahali pa kazi kwani ni kiungo kati ya Menejimenti na Wafanyakazi.

About the author

Alex Sonna