RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe Tony Blair, wakizungumza na kuagana baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Previous articleWAZIRI JAFO AHAMASISHA USAFI WA MAZINGIRA SEHEMU ZA BIASHARA
Next articleMKE WA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ASHIRIKI KONGAMANO LA KUCHANGISHA FUTARI KWA WATOTO YATIMA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here