Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

grandpashabet

grandpashabet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

sahabet

pasacasino

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet adres

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

jojobet

jojobet

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO AZINDUA KAMPENI YA “SOMA NA MTI” WILAYANI TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akipanda mti kuashiria uzinduzi wa Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika leo katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiweka udongo kwenye mti ambao ameupanda katika uzinduzi wa Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika leo katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam. Katibu Tawala wa Manispaa ya Temeke Bi.Bupe Mwakibete akipanda mti katika uzinduzi wa Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika leo katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akimwagilizia maji Katibu Tawala wa Manispaa ya Temeke Bi.Bupe Mwakibete mara baada ya kupanda mti kwenye uzinduzi wa Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika leo katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza katika uzinduzi wa Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika leo Machi 25, 2022 katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam.Afisa Mazingira mwanandamizi NEMC-Kanda ya Mashariki Kusini  Bi.Abela Muyungi akizungumza uzinduzi wa Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika leo Machi 25, 2022 katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam. Katibu Tawala wa Manispaa ya Temeke Bi.Bupe Mwakibete akizungumza uzinduzi wa Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika leo Machi 25, 2022 katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam.  Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke akizungumza uzinduzi wa Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika leo Machi 25, 2022 katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam. Diwani kata ya Temeke Bw.Omary Makwana akizungumza uzinduzi wa Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika leo Machi 25, 2022 katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam. Balozi wa Mazingira Vyuo Vikuu Bw.George Geofrey akizungumza uzinduzi wa Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika leo Machi 25, 2022 katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akisalimiana na wadau mbalimbali baada ya kuwasili kwenye uzinduzi wa Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika leo katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akipokea picha yenye mchoro wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kutoka kwa mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Karibuni katika uzinduzi wa Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika leo katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akipokea picha yenye mchoro wake kutoka kwa mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Karibuni katika uzinduzi wa Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika leo katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam.Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari Jaribu wakionesha jumbe mbalimbali za uhamasishaji wa Utunzaji wa mazingira katika Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika jleo katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwamwagilizia maji wanafunzi mara baada ya kupanda mti kwenye uzinduzi wa Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam.Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari Karibuni wakifuatilia uzinduzi wa Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika leo katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

******************

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amezindua Kampeni ya “Soma na Mti” kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Jijini Dar es Salaam ambapo amewataka viongozi wa wilaya hiyo kuhakikisha miti iliyokusudiwa ipandwe na itunzwe.

Akizungumza mara baada ya kuzindua kampeni hiyo, Waziri Jafo amesema kila halmashauri inapaswa kupanda milioni 1.5 hivyo kwa halmashauri zote 184 zinatakiwa kupanda miti 276.

Amesema lengo la kampeni hiyo ni kuchagiza ajenda ya maendeleo ya upandaji wa miti na utunzaji wa mazingira nchini.

“Imani kubwa ni kwamba kama suala hili la utunzaji wa mazingira tukilipandikiza kwa wanafunzi, Taifa litafikia maeneo ambapo suala la mazingira litakuwa jambo muhimu”. Amesema Waziri Jafo.

Waziri Jafo amesema katika wilaya ya Temeke inalenga kupanda miti 71,000 kwa upande wa Shule za Sekondari pekee na kwa upande wa Shule za msingi takribani miti isiyopungua 190,000 inatarajiwa kupandwa na kwa ujumla itakuwa miti zaidi ya 260,000.

Kwa upande wake Afisa Mazingira mwanandamizi NEMC-Kanda ya Mashariki Kusini Bi.Abela Muyungi amesema kuwa miti yote tunayoipanda inatakiwa itunzwe ili itutunze kwakuwa tukipanda miti tutakuwa tunatunza mazingira na tutaboresha uhai wetu.

Pamoja na hayo amewataka wanafunzi kuendelea kuwa mabalozi wazuri katika suala la upandaji wa miti na utunzaji wa mazingira katika ameneo yao ili mazinira yaweze kuwa safi kwa ujumla.

 Nae Katibu Tawala wa Manispaa ya Temeke Bi.Bupe Mwakibete amemuwakikishia Waziri kuwa kazi ya upandaji wa miti wataifanya kwa ushirikiano mkubwa ili lengo lililopangwa liweze kutimia.

About the author

Alex Sonna