Uncategorized

MKUTANO WA WADAU WA KUBORESHA ANDIKO LA MFUMO WA KITAIFA WA URATIBU, UFUATILIAJI, TATHMINI NA TAARIFA ZA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA STADI ZA MAISHA KWA VIJANA NJE YA SHULE

Written by mzalendoeditor

Mtaalam elekezi, Prof. Kitila Mkumbo (Mb) akieleza jambo wakati wa kikao cha wadau cha kuboresha andiko la mfumo wa kitaifa wa uratibu, ufuatiliaji, tathmini na taarifa za utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana kilichofanyika leo Machi 24,2022  Jijini Dodoma.

Sehemu ya wadau wakifuatilia hoja zilizokuwa zikiwasilishwa katika kikao cha wadau cha kuboresha andiko la mfumo wa kitaifa wa uratibu, ufuatiliaji, tathmini na taarifa za utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana kilichofanyika leo Machi 24,2022  Jijini Dodoma.

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Bw. Eliakim Mtawa akizungumza katika kikao cha wadau walipokutana kwa lengo la kuboresha andiko la mfumo wa kitaifa wa uratibu, ufuatiliaji, tathmini na taarifa za utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana kilichofanyika leo Machi 24,2022  Jijini Dodoma.

Mwakilishi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dkt. Mariam Ngaeje (kushoto) akieleza jambo wakati wa mkutano huo. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Eliakim Mtawa.

Afisa Miradi kutoka Shirika la AFRIYAN Tanzania, Bi. Jennifer Kayombo akichangia jambo wakati wa kikao cha wadau cha kuboresha andiko la mfumo wa kitaifa wa uratibu, ufuatiliaji, tathmini na taarifa za utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana kilichofanyika leo Machi 24,2022  Jijini Dodoma.

Picha ya pamoja ya wadau mara baada ya mkutano wa kuboresha andiko la mfumo wa kitaifa wa uratibu, ufuatiliaji, tathmini na taarifa za utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana kilichofanyika leo Machi 24,2022  Jijini Dodoma. Aliyekaa katikati ni Mtaalam elekezi, Prof. Kitila Mkumbo (Mb), Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Eliakim Mtawa (kushoto) na Mwakilishi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dkt. Mariam Ngaeje (kulia). 

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

(KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)

About the author

mzalendoeditor