Featured Michezo

MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA MICHEZO ASPIRE KILICHOPO DOHA NCHINI QATAR

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea jezi iliyoandikwa jina lake kutoka kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa  Kituo cha Michezo (Sports Academy) kiitwacho Aspire, Tim Cahilll wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo Doha nchini Qatar, Machi 22, 2022. Jezi hiyo ilitolewa kama kumbukumbu ya ziara yake kituoni hapo. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata Maelezo kutoka Afisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha  Michezo  (Sports Academy) kiitwacho  Aspire, Tim Cahilll  (kushoto) wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo Doha nchini Qatar, 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa Mafunzo ya Mpira wa Miguu wa Kituo cha Michezo (Sports Academy) kiitwacho Aspire , Daniel Bonanno  (kulia) wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo Doha nchini Qatar, Machi 22, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor