Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI KUMBUKIZI YA JPM CHATO

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiambatana na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango,leo tarehe 17 Machi 2022 ameshiriki Kumbukizi ya Mwaka Mmoja wa Kifo cha aliyekuwa Rais wa  Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli , iliofanyika Chato mkoani Geita.

About the author

mzalendoeditor