Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyonga akizungumza mara baada ya Kaamati hiyo kukagua utekelezaji wa mradi wa kuunganisha umeme Kenya na Tanzania sehemu ya Singida, Manyara na Arusha unaotekelezwa na Shirika la Umeme (TANESCO).

Meneja wa kusimamia ujenzi katika vituo vya umeme kutoka Shirika la Umeme (TANESCO) Ndugu Timothy Mgaya akiwaonyesha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) sehemu ya mradi kuunganisha umeme Kenya na Tanzania wakati Kamati ilipotembelea na kukagua mradi huo sehemu ya Singida, Manyara na Arusha.

PICHA NA OFISI YA BUNGE

Previous article‘HAUWEZI KUWA MWANGALIZI WA MAADILI YA WENGINE WAKATI WEWE HUNA MAADILI’_JAJI MWANGESI
Next articleRAIS SAMIA AFANYA UTEUZI,HUMPHREY POLEPOLE APELEKWA MALAWI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here