Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA MWAKA WA ASASI ZA KIRAIA ZANZIBAR.

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufungua mkutano wa kwanza wa mwaka wa Asasi za Kiraia Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Unguja nje kidogo ya Jiji la Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Tovuti ya Taasisi ya Asasi za Kirais Zanzibar, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa kwanza wa mwaka wa Asasi za Kirai Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Unguja nje kidogo wa Mji wa Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa Tuzo ya Mchango wake kwa Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Asasi za Kiraia Zanzibar.Bw.Hassan Juma, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa kwanza wa mwaka wa Asasi za Kiraia Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulup Kiembesamaki Unguja nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor