Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA WAZEE WA MKOA WA KUSINI UNGUJA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa Mkoa wa Kusini Unguja mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Chuo cha Veta Makunduchi kwa ajili ya kuzungumza na Wazee wa Mkoa huo leo tarehe 10 Machi, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidi Rashid kabla ya kuzungumza na Wazee wa Mkoa huo katika ukumbi wa Chuo cha Veta Makunduchi leo tarehe 10 Machi 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Veta Makunduchi leo tarehe 10 Machi, 2022.

About the author

mzalendoeditor