RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Jamal Kassim Ali kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Hamza Hassan Juma kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed kuwa Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar,hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Previous articleWAZIRI BITEKO AWEKA WAZI MAFANIKIO YA WIZARA YA MADINI KATIKA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA
Next articleRAIS SAMIA ATETA NA WAZEE WA MKOA WA KUSINI UNGUJA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here