Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

rekabet

matbet

maxwin, maxwin giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

redwin

holiganbet

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

lisanslı casino siteleri

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

maxwin

jojobet

marsbahis

ultrabet giriş

lunabet

jojobet

setrabet

jojobet güncel

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

piabellacasino

ultrabet

piabellacasino

piabellacasino

kulisbet

betlike

artemisbet

piabellacasino

jojobet giriş

mavibet

casinoroyal

artemisbet

hdabla

doeda

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

pusulabet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin giriş

matbet

dinamobet giriş

casibom

casibom

betkolik

goldenbahis

casibom

goldenbahis

casibom

kalebet

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

luxbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

jojobet

royalbet

jojobet

betface

betface

pashagaming

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

avrupabet

betsat

betpark giriş

vdcasino

jojobet

casibom

betsat

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

Featured Kimataifa

UHOLANZI: WAZIRI NDUMBARO ATETA NA KLABU YA AJAX JUU YA KUNADI VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA

Written by Alex Sonna
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi,  Mhe.Irene Kasyanju wakipewa maelezo  Meneja Masoko wa Kilabu ya Ajax Bw. Ted Robinson  mara  baada ya kutembelea uwanja wa Kilabu hiyo kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya  kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania  kupitia jezi na na mbao za matanagazo zilizopo katika uwanja wa Kilabu hiyo
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi, Mhe.Irene Kasyanju ( kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wengine wa Ubalozi waliongozana nao kutembelea uwanja wa Kilabu hiyo  mara baada ya kufanya mazungumzo na viongozi wa Kilabu ya Ajax kwa ajili ya  kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania  kupitia jezi na na mbao za matangazo zilizopo katika uwanja wa Kilabu hiyo
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi,  Mhe.Irene Kasyanju wakizungumza na  Meneja Masoko wa Kilabu ya Ajax , Ted Robinson mara  baada ya kutembelea duka la jezi za Kilabu ya Ajax
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi,  Mhe.Irene Kasyanju wakiwa wameongoza na   Meneja Masoko, Ted Robinson mara  baada ya kutembelea uwanja wa Kilabu hiyo kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya  kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania  kupitia jezi na na mbao za matanagazo zilizopo katika uwanja wa Kilabu hiyo
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (katikati) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi,  Mhe.Irene Kasyanju ( wa pili kushoto)  wakiwa pamoj na Watumishi wa UBalozi wa Tanzania nchini Uholanzi  mara  baada ya kutembelea uwanja wa Kilabu hiyo kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya  kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania  kupitia jezi na na mbao za matanagazo zilizopo katika uwanja wa Kilabu hiyo
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi,   Mhe.Irene Kasyanju akikabidhi zawadi mbali mbali kwa  Bi.Tanja Dik, Afisa Mkuu wa Uwanja wa Ajax na Bw. Han Mouton, Mkurugenzi wa Fedha wa Kilabu ya Ajax mara  baada ya  kufanya mazungumzo na viongozi wa Kilabu hiyo kwa ajili ya kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania  kupitia jezi na na mbao za matanagazo zilizopo katika uwanja wa Kilabu hiyo
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi,   Mhe.Irene Kasyanju wakiwa kwenye picha ya pamoja na  Afisa Mkuu wa Uwanja wa Ajax Bi.Tanja Dik, ( wa kwanza kulia)   akiwa na Mkurugenzi wa Fedha wa Kilabu ya Ajax Bw. Han Mouton ( wa kwanza kushoto)   mara  baada ya  kufanya mazungumzo na viongozi wa Kilabu hiyo kwa ajili ya kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania  kupitia jezi na na mbao za matanagazo zilizopo katika uwanja wa Kilabu hiyo
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi,   Mhe.Irene Kasyanju wakiwa kwenye picha ya pamoja na  Afisa Mkuu wa Uwanja wa Ajax Bi.Tanja Dik, ( wa kwanza kulia)   akiwa na Mkurugenzi wa Fedha wa Kilabu ya Ajax Bw. Han Mouton ( wa kwanza kushoto)   mara  baada ya  kufanya mazungumzo na viongozi wa Kilabu hiyo kwa ajili ya kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania  kupitia jezi na na mbao za matanagazo zilizopo katika uwanja wa Kilabu hiyo, Katikati ni  Meneja Masoko, Ted Robinson wa Uwanja huo
……………………………………………………………………..
Na Mwandishi Wetu,  Uholanzi.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amefanya mazungumzo na Uongozi wa Klabu ya Soka ya Ajax ya Uholanzi ili  itangaze vivutio vya Utalii vya Tanzania kupitia matangazo ya jezi na mbao za matangazo (billboards) uwanjani.
Dkt. Ndumbaro amebainisha hayo leo alipokutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa klabu hiyo wakiongozwa na Bi.Tanja Dik, Afisa Mkuu wa Uwanja na Bw. Han Mouton, Mkurugenzi wa Fedha wa timu hiyo.
Katika mazungumzo yao, Dkt. Ndumbaro  amewasilisha nia ya Tanzania kushirikiana na Klabu ya Ajax katika kutangaza vivutio vya Utalii vya Tanzania kupitia matangazo kwenye jezi na mbao za matangazo zilizopo katika iwanja wa klabu hiyo.
“Mazungumzo yetu yameenda vizuri na  viongozi hao wamepokea pendekezo na ombi letu na kuahidi kulifikisha kwenye idara husika ya biashara pia kuendeleza mawasiliano na Ubalozi wetu uliopo hapa kuangalia namna ya kutekeleza nia hii,” amesema Dkt. Ndumbaro.
Katika hatua nyingine, Mhe. Dk Ndumbaro ametembelea na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Klabu kubwa ya Golf nchini Uholanzi ya GC BurgGolf Westerpark, Zoetermeer.
 Katika mazungumzo yake na Meneja mauzo na matukio,  Bi. Eline Dujardin na  Mkufunzi katika klabu hiyo Bw. Ronald Mos, Dk Ndumbaro amewasilisha pendekezo la Tanzania kushirikiana na klabu hiyo katika kuandaa tamasha la golf litakalofahamika kwa jina la “Mt. Kilimanjaro Open”.
Hata hivyo, pendekezo limepokelewa vizuri na viongozi wa klabu hiyo na kuahidi kuwasiliana zaidi kupitia Ubalozi ili kuangalia namna bora ya kulitekeleza.
Waziri Ndumbaro amefanya ziara hiyo ya kikazi nchini Uholanzi kwa lengo la kutafuta fursa za kutangaza vivutio vya Utalii vya Tanzania nchi humo.
Aidha, Waziri Dk Ndumbaro amepata fursa ya kufanya mazungumzo na Mhe. Irene F. M. Kasyanju, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uholanzi pamoja na watumishi wa ubalozi huo.
Akizungumza na watumishi hao, Dk Ndumbaro amewaeleza mwelekeo wa Wizara katika kutangaza utalii ikiwemo uanzishwaji wa vifurushi vya wanafunzi  (student package), matumizi ya utangazaji utalii kidijitali  , Utangazaji kupitia michezo,  vyombo vya habari , Watu maarufu wenye ushawishi duniani na Mabalozi wa hiari wa Utalii.

About the author

Alex Sonna