Featured Kitaifa

RAIS MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UJUMBE WA VIONGOZI WA MIFUKO YA JAMII TANZANIA

Written by mzalendoeditor


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Mifuko ya Jamii Tanzania (TSSA) ukingozwa na Mwenyekiti wa (TSSA ) ambae pia ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF.Bw. Masha John Mshomba.(kulia kwa Rais) na Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF.Balozi Ali Iddi Siwa, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenyekiti wa (TSSA) ambae pia ni Mkurugenzi Mkuu wa (NSSF) Bw.Masha John Mshomba, baada ya kumaliza mazungumzo yao na Ujumbe wa Viongozi wa Mifuko ya Jamii Tanzania, yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Mifuko ya Jamii Tanzania (TSSA) ukingozwa na Mwenyekiti wa (TSSA ) ambae pia ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF.Bw. Masha John Mshomba.(kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmes Said, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbve wa Viongozi wa Mifuko ya Jamii Tanzania,baada ya kumaliza mazungumzo yao walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor