Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

TANZANIA KUENDELEA KUSIMAMIA USAWA WA KIJINSIA NA UWEZESHAJI WA WANAWAKE KIUCHUMI

Written by Alex Sonna

 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi A. Khamis (Mb), akichangia mjadala wakati wa Mkutano wa 6 wa Kamati Maalum ya Mawaziri ya Umoja wa Afrika wanaoshughulikia masuala ya Usawa wa Kijinsia na Uwezeshaji Wanawake uliofanyika jijini Addis Ababa Ethiopia.

…………………………………………………

Na WMJJWM

Tanzania imezihakikishia nchi za Umoja wa Afrika kuendelea kusimamia usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake kiuchumi katika sekta mbalimbali na kuwawezesha kupata fursa katika sekta hizo.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis mara baada ya kuwasili nchini akitikokea Ethiopia alikoshiriki Mkutano wa Sita wa Kamati Maalum ya Mawaziri ya Umoja wa Afrika wanaoshughulikia masuala ya Usawa wa Kijinsia na Uwezeshaji Wanawake uliofanyika jijini Addis Ababa Ethiopia.

Mhe. Mwanaidi amesema kuwa nchi za Afrika zimetoa msimamo na kauli moja ya kuhakikisha zinasimamia na kuzingatia usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake na wasichana kupitia Sera na Programu ya kukabiliana na maafa yanayosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi na mazingira.

Akitoa taarifa ya utekelezaji wa afua mbalimbali za kutokomeza ukatili kwa wanawake na wasichana katika Mkutano huo Mhe. Mwanaidi amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuchukua hatua katika kutomeza ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na wasichana na uwezeshaji  kwenye nafasi za uongozi na kiuchumi.

Ameeleza kuwa Tanzania iko tayari kushirikiana na nchi wanachama wa Umoja wa Afrika katika kutetea na kulinda maslahi na haki za wanawake na wasichana barani Afrika ili waweze kupata fursa mbalimbali katika uongozi na kuwawezesha kujikwamua kiuchumi.

Ameongeza kuwa miongoni mwa maazimio yaliyotokana na mkutano huo ni pamoja na nchi za Afrika kuwawezesha wanawake na wasichana katika masuala ya uongozi kwenye kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, kuongeza ufadhili na uwekezaji katika miradi ambayo inazingatia masuala ya jinsia katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

Aidha Mhe. Mwanaidi ameeleza kuwa lengo la mkutano huo wa Ethiopia ni kuhakikisha kuwa matokeo ya Mkutano 66 wa Kamisheni ya Wanawake Duniani yananufaisha wanawake na wasichana wa mijini na vijijini barani Afrika.

Pia ameyataja maazimio mengine ya Mkutano huo kuwa nchi za Afrika kuendelea kushirikiana na Asasi za kiraia, viongozi wa dini na sekta binafsi, viongozi wanawake na jamii kwa ujumla kuchukua hatua muhimu kwaajili ya kutokomeza ukatili kwa wanawake na wasichana,

“Katika hili Umoja wa Nchi za Afrika umezitaka nchi wanachama kuzindua Kampeni za kitaifa za kutokomeza ukatili kwa wanawake na wasichana zitakazosadia kutoa elimu kwa jamii kupambana na vitendo hivyo vinavyorudisha nyuma jithada za kuwaibua wanawake na wasichana katika sekta mbalimbali” alisema Mhe. Mwanaidi

Kwa upande mwingine mkutano huo umekubaliana kuanzishwa kwa mfuko wa Maendeleo ya wanawake barani Afrika (Trust Fund for Africa Women) utakaosadia kuwawezesha wanawake na wasichana katika nchi za Afrika kujikwamua kiuchumi kupitia mikopo itakayowawezesha kufanya bisahara na miradi mbalimbali katika maeneo yao.

Mkutano wa 6 wa Kamati Maalum ya Mawaziri ya Umoja wa Afrika wanaoshughulikia masuala ya Usawa wa Kijinsia na Uwezeshaji Wanawake ni mwanzo wa Mkutano 66 wa Kamisheni ya Wanawake Duniani utakaofanyika jijini New York nchini Marekani kuanzia Machi 14, 2022.

About the author

Alex Sonna