Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 3 Machi, 2022 akishiriki Mkutano maalum wa kuadhimisha miaka hamsini ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) unaofanyika katika makao makuu yake Jijini Nairobi, Kenya.