Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA AWAAMBIA WANARUNGWE “TUSIJADILI SIASA, RAIS SAMIA ANAUPIGA MWINGI”

Written by Alex Sonna

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Wananchi wa Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya katika Mkutano uliofanyika leo katika viwanja vya CCM Machi 1, 2022, Wananchi hao walimpongeza Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) kwa kuchaguliwa kwa kishindo kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akisalimiana na wananchi wa Tukuyu baada ya kuzungumza nao katika Mkutano uliofanyika leo viwanja vya CCM Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya, Machi 1, 2022, kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Mhe. Dkt. Vicent Anney. Wananchi hao walimpongeza Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) kwa kuchaguliwa kwa kishindo kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mbunge wa Busokelo, Mhe. Atupele Fredy Mwakibete akizungumza na Wananchi wa Tukuyu Wilayani Rungwe katika Mkutano uliofanyika leo katika viwanja vya CCM Mkoani Mbeya, 

Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Mhe. Dkt. Vicent Anney akizungumza na Wananchi wa Tukuyu Wilayani Rungwe katika Mkutano uliofanyika leo katika viwanja vya CCM Mkoani Mbeya

Mbunge wa Rungwe, Mhe. Anthony Mwantona akizungumza na Wananchi wa Tukuyu Wilayani Rungwe katika Mkutano uliofanyika leo katika viwanja vya CCM Mkoani Mbeya,

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Fyandomo akizungumza na Wananchi wa Tukuyu Wilayani Rungwe katika Mkutano uliofanyika leo katika viwanja vya CCM Mkoani Mbeya,

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Sophia Mwakagenda akizungumza na Wananchi wa Tukuyu Wilayani Rungwe katika Mkutano uliofanyika leo katika viwanja vya CCM Mkoani Mbeya.

Wananchi wa Tukuyu Wilayani Rungwe wakimsikiliza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mb (hayupo kwenye picha) akizungumza katika Mkutano uliofanyika leo katika viwanja vya CCM Mkoani Mbeya, Machi 1, 2022, Wananchi hao walimpongeza Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) kwa kuchaguliwa kwa kishindo kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

………………………………………………

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson ( Mb), amewaasa  wananchi wa Tukuyu Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya kuacha kutumia muda mwingi kujadili siasa badala yake waelekeze nguvu na maarifa katika miradi itakayowaletea maendelo. 

 Mhe. Spika ameyasema hayo wakati wa Mkutano wa hadhara uliofanyika leo tarehe 1 Machi, 2022 Wilayani humo kwa lengo la kumpongeza kuchaguliwa kwake kuwa Spika wa Bunge. 

Pamoja na kuwashukuru wananchi hao kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mkutano huo, Mhe. Spika amemshukuru Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia mchakato wa kupitisha jina lake na kugombea nafasi hiyo.  

“Hii nafasi tusingeweza kuipata bila yeye lakini shukrani zetu zinakwenda mbali zaidi ya hapo. Katika wingi wa mambo aliyoyafanya, sisi kama Wananchi wa Rungwe lazima tumshukuru kwa miradi mbalimbali inayoendelea katika maeneo yetu. Sekta ya elimu hapa ameleta zaidi ya shilingi billioni 1.1 ili madarasa yajengwe kwenye shule zetu za sekondari watoto wetu waweze kusoma. Rais wetu haupigi mwingi huko kwingine pekee bali anaupiga mwingi hadi hapa kwetu Rungwe” ameongeza Dkt. Tulia

Aidhaa, amewaeleza Wananchi hao kuhusu miradi mingine mbalimbali iliyofanywa na Serikali katika sekta ya afya na miundombinu, ambapo pia amewataka kuendelea kushikamana pasipokufuata mihemko ya kisiasa kwakuwa.

Kwa upande wake Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Mbeya kupitia CHADEMA Mhe. Sophia Mwakagenda amesema kuwa licha ya tofauti zao za kichama lakini anampongeza Mhe. Spika pamoja na Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwakuwa wamekuwa ni Viongozi bora na wa mfano katika taifa na dunia kwa ujumla.

 “Mheshimiwa Spika wewe ni Spika wa vyama vyote, mimi ni mmoja wa Wabunge wako ambao tulikuchagua kwa kura zote. Wakati tunakujadili tulisema hatuangalii chama bali tunaangalia akili na uwezo wa mtu” alisema Mhe. Mwakagenda

Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rungwe Ndg. Mpokigwa Mwankuga, amempongeza Mheshimiwa Dkt. Tulia kwa jitihada zake binafsi za kujitolea kwa jamii yake huku akitoa rekodi ya baadhi ya mambo aliyoyafanya ndani ya Halmashauri hiyo licha ya kwamba sio Mbunge wa eneo hilo.

“Katika rekodi ambayo Halmashauri hii imeweza kuzirekodi kwa wewe binafsi kujitolea katika sekta mbalimbali hadi sasa ni zaidi ya shilingi 1.13 bilioni Mheshimiwa Spika fedha hizi ungeweza kuzipeleka kwenye familia yako lakini uliamua kuwasaidia wana-Rungwe ili kuhakikisha wote wanapata maendeleo, tunakushukuru sana” alisema Mwankuga

About the author

Alex Sonna