Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akisaliamiana na viongozi mbalimbali wa kitaifa wakati alipowasili katika viwanja vya Ruanda Nzovwe leo Februari 26, 2022, kuzungumza na wananchi wa Jiji hilo

Wananchi Mbalimbali wa Jiji la Mbeya wakimsikiliza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza katika viwanja vya Ruanda Nzovwe leo Februari 26, 2022

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na wananchi wa Jiji la Mbeya katika viwanja vya Ruanda Nzovwe leo Februari 26, 2022

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na wananchi wa Jiji la Mbeya (hawapo kwenye picha) katika viwanja vya Ruanda Nzovwe leo Februari 26, 2022, Wengine ni Wabunge mbalimbali wa Mkoa wa Mbeya na Mikoa ya Jirani

(PICHA NA OFISI YA BUNGE) 

Previous articleMAABARA YA KISASA YA KUPIMA UBORA WA MBOLEA KUJENGWA JIJINI DAR ES SALAAM
Next articleNAIBU WAZIRI WA AFYA ATAKA KASI UJENZI WA MIUNDOMBINU YA AFYA MANYARA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here