Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

ZFDA YATEKETEZA JUMLA YA TANI 27 ZA MCHELE

Written by Alex Sonna

Mkuu wa  Ukaguzi Kitengo cha  Bandarini kutoka Wakala wa Chakula Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDA) Muhammed Shadhil Shauri, akitoa Maelezo kuhusu kuteketezwa kwa Mchele aina ya Al-faiz uliyoingia maji ya bahari wakati wa kusafirishwa,  Kontena moja Tani 27, mali ya Kampuni ya Al-faiz General Store, huko Jaa Kuu la Kibele Mkoa wa Kusini Unguja.

Baadhi ya Mchele aina ya Al-faiz uliyoingia maji ya bahari wakati wa kusafirishwa,  Kontena moja Tani 27, mali ya Kampuni ya Al-faiz General Store, Ukimwaga kwa ajili ya kuteketezwa na Wakala wa Chakula Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDA)  , huko Jaa Kuu la Kibele Mkoa wa Kusini Unguja.

 Gari aina ya Kijiko likisaga Mchele aina ya Al-faiz uliyoingia maji ya bahari wakati wa kusafirishwa,  Kontena moja Tani 27, mali ya Kampuni ya Al-faiz General Store, kwa lengo la kuteketeza na Wakala wa Chakula Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDA)  , huko Jaa Kuu la  Kibele Mkoa wa Kusini Unguja.

Baadhi ya Mchele aina ya Al-faiz uliyoingia maji ya bahari wakati wa kusafirishwa,  Kontena moja Tani 27, mali ya Kampuni ya Al-faiz General Store, Uliyomwaga kwa ajili ya kuteketezwa, Wakala wa Chakula Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDA)   huko Jaa Kuu la Kibele Mkoa wa Kusini Unguja.

(PICHA NA MARYAM KIDIKO – MAELEZO ZANZIBAR)

…………………………………………………

Na Maryam Kidiko- Maelezo  Zanzibar 

Jumla ya Tani 27 za Mchele zimeteketezwa na Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDA) baada ya kubainika kuwa mchele huo haufai kwa matumizi ya binadam.

Shughuli ya uteketezwaji imefanyika Jaa kuu la Kibele Mkoa wa Kusini Unguja chini ya usimamizi wa Maafisa wa ZFDA.

Akizungumza na Wanahabari mara baada ya uteketezaji Mkuu wa Ukaguzi kitengo cha Bandarini Mohammed Shadhil Shauri amesema, Mchele huo uliharibika baada ya Kontena lililoubebea kuingia maji ya chumvi wakati wa kusafirishwa.

Amesema kuwa Mchele huo uliingizwa bandarini mwishoni mwa Mwezi Januari mwaka huu na Kampuni ya Al-faiz General Store ukitokea nchini Pakistan.

Shauri amefafanua kuwa Kampuni hiyo iliingiza jumla ya Makontena 10 ambapo moja ya Makontena hayo liliharibika na kupelekea Mchele huo kuingia maji ya chumvi.

“Tulivyoyakagua Makontena yote 10 tukagundua Kontena moja Mchele umeingia maji na haufai tena kwa matumizi ” alisema Shauri.

Amesema baada ya kubaini tatizo hilo hatua iliyofuata ni kuuteketeza ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza kwa watumiaji.

Shauri ametoa wito kwa Wafanyabiashara kufanya utafiti wa kutosha kwa Makampuni wanayonunulia bidhaa sambamba na Makontena ya usafirishaji ili kuepuka kuingia hasara.

Akielezea hali halisi ya uingizwaji wa biashara kutoka nje ya nchi Shauri amesema kwa sasa wafanyabiashara wengi wamepata uelewa na hivyo kupelekea kupungua kwa wimbi la uingizwaji wa bidhaa mbovu.

Amesema kwa sasa inaweza kupita miezi mitano bila kuteketeza bidhaa yoyote kwa vile bidhaa zinazoingia nchini zinakidhi vigezo vya ubora.

“Zamani kila baada ya muda tulilazimika kuteketeza Bidhaa mbovu zilizoingizwa nchini ila kwa sasa uelewa wa w

Wafanyabiashara umeongezeka na hivyo kupelekea kuingiza bidhaa zinazokidhi vigezo” alisema Shauri.

Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDA) umeundwa kwa lengo la kusimamia na kudhibiti bidhaa za Chakula, Dawa na Vipodozi ili kulinda afya za watumiaji wa bidhaa hizo nchini.

About the author

Alex Sonna