Featured Kitaifa

MAJALIWA ATETA NA VIONGOZI MBALIMBALI BAADA YA MKUTANO WA MPANGO WA AMANI, USALAMA NA USHIRIKIANO NCHINI DRC

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye baada ya  kumalizika kwa mkutano wa kumi wa wakuu wa nchi wa Serikali zinazohusika na mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano nchini DRC na kwenye ukanda wa maziwa makuu uliofanyika, jijini Kinshasa, DRC 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa anayeshughulikiwa masuala ya amani Jean-Pierre Lacroix baada ya  kumalizika kwa mkutano wa kumi wa wakuu wa nchi wa Serikali zinazohusika na mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano nchini DRC na kwenye ukanda wa maziwa makuu uliofanyika, jijini Kinshasa, DRC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi katika mkutano wa pembeni baada ya kumalizika kwa mkutano wa kumi wa wakuu wa nchi wa Serikali zinazohusika na mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano nchini DRC na kwenye ukanda wa maziwa makuu uliofanyika, jijini Kinshasa, DRC  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor