Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

WATOTO SABA WASIKIA SAUTI KWA MARA YA KWANZA TANGU KUZALIWA

Written by Alex Sonna

Mtoto Cayleen Regan akifurahi baada ya kuanza kusikia kwa mara tangu kuzaliwa, Kulia ni mtaalamu wa matamshi (Speech Therapist) Bi Christina Simangwa. Cayreen ni miongoni mwa watoto saba waliopandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia Januari mwaka huu

Mtoto Haleluya Kihondo akiwashiwa kifaa cha kusaidia kusikia alichopandikizwa Hospitali ya Taifa Muhimbili Januari mwaka huu, huku akisaidiwa na wataalamu wa matamshi (Speech Therapist) Bi Christina Simangwa (Kulia) na Bw. John Kambaga

Mkurugenzi wa Huduma za Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Sufian Baruani akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) akiwa na Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Masikio, Pua na Koo, Dkt. Edwin Liyombo (Kulia) na Dkt. Shaaban Mawala (kushoto).

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Masikio, Pua na Koo Dkt. Edwin Liyombo akifafanua jambo.

Baadhi ya wazazi ambao watoto wao wamepandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia(Cochlear Implant ) wakifuatilia jambo

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Masikio, Pua na Koo Dkt. Shaaban Mawala akifanya upasuaji wa kupandikiza vifaa vya kusaidia kusikia (Cochlear Implant) kwa watoto mwezi Januari mwaka huu.


Na Sophia Mtakasimba

Watoto saba waliozaliwa na tatizo la kutokusikia, leo wamesikia sauti kwa mara ya kwanza baada ya kupandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia (Cochlear Implant) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na kufanya idadi ya waliopandikizwa hadi sasa kufikia 49 tangu kuanzishwa huduma hii nchini  mnamo Juni 2017.

Kati ya watoto saba waliopandikizwa, watano wamelipiwa na Msamaria Mwema ambaye hakutaka jina lake litajwe ambapo amechangia TZS. 150 Mil sawa na TZS. 30 Mil kwa kila mtoto ikiwa ni gharama za kununua vifaa. Serikali imechangia karibu TZS. 10 Mil kwa kila mtoto. Gharama halisi ya huduma hii ni TZS. 40 Mil ambapo nje ya nchi inagharimu TZS. 100 Mil kwa mtoto mmoja.   

Mkurugenzi wa Huduma za Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Sufiani Baruani amesema kuwa upasuaji ulifanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 25-27 Januari mwaka huu na kwamba kwa asilimia kubwa umefanywa na wataalamu wazalendo.

“Tulipoanza upasuaji huu wa kupandikiza vifaa vya kusaidia kusikia tulikuwa tunashirikiana na wataalamu kutoka nje ya nchi lengo ilikuwa ni kuwajengea uwezo wataalamu wazalendo,  lakini kwa sasa uwezo wa wataalamu wetu umefikia asilimia 95 na tukifanya upasuaji huu kwa awamu nyingine wataalamu watakuwa na uwezo wa kufanya wenyewe kwa asilimia 100”, amesema Dkt. Baruani.

Akizungumzia mchakato wa upasuaji huo, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Masikio, Pua na Koo,  Dkt. Edwin Liyombo amesema watoto wanaonufaika na upasuaji huo ni wale ambao mishipa yao ya fahamu ipo vizuri.

“Siyo kila mtoto mwenye tatizo la kutokusikia anafanyiwa upasuaji huu, tunafanya tathmini kuangalia mishipa ya fahamu kama ipo vizuri, ikiwa vizuri anawekewa ila kwa wale ambao mishipa yao ya  fahamu haifanyi kazi kwa sababu yoyote ili hatawekewa kifaa kwa kuwa hata ukimuwekea hakitamsaidia,” amesema Dkt. Liyombo

Dkt. Liyombo amesema kuwa suala la utayari wa wazazi huzingatiwa sana kwa kuwa baada ya kuwekewa kifaa cha kusaidia kusikia maisha ya mtoto hubadilika hivyo kuhitaji uangalizi mkubwa wa wazazi au walezi.

Tanzania ilipeleka wagonjwa 50 nchini India kupanikizwa vifaa hivi kwa kipindi cha miaka 15 kabla ya kuanza huduma hii nchini Juni 2017. Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa huduma hii kwa wagonjwa 49 kwa kipindi cha miaka minne sawa na 98% ya wagonjwa waliopelekwa na Serikali nje ya nchi kwa miaka 15. Tanzania inakuwa nchi ya kwanza kutoa huduma hii kupitia hospitali ya umma nchini na katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

About the author

Alex Sonna