Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

Featured Kitaifa

UHUSIANO KATI YA TANZANIA NA MATAIFA MENGINE UMEIMARIKA – MAJALIWA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Sita wa Bunge jijini Dodoma

 ……………………………………………………

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uhusiano kati ya Tanzania na mataifa mengine umeendelea kuimarika kutokana na jitihada kubwa zilizofanywa na Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae ameendelea kufanya ziara katika nchi mbalimbali sambamba na viongozi wakuu wa nchi hizo na Mashirika ya Kimataifa kuzuru Tanzania.

Amesema katika kipindi kifupi ziara zilizofanywa na Rais zimeiwezesha Nchi kupata manufaa makubwa ikiwemo kuingiwa kwa makubaliano ya ushirikiano katika maeneo mbalimbali kama vile miundombinu, nishati, elimu, teknolojia ya habari na mawasiliano, afya, michezo, kilimo na uwekezaji.

”Pamoja na mafanikio yote hayo ya kiuchumi, Tanzania imefanikiwa kuzishawishi Nchi Wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kutangaza tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa siku ya Kiswahili duniani.”

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Ijumaa Februari 18, 2022) wakati akiahirisha Mkutano wa sita wa Bunge la kumi na mbili (12) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Amesema  lugha ya Kiswahili hainabudi kuwa chachu ya kukuza ajira kwa wakalimani, walimu wa ngazi zote, mauzo ya vitabu, filamu na aina nyingine za sanaa.

 

”Nitoe wito kwa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Balozi zetu nje kuja na mikakati maalumu ya kukiendeleza Kiswahili hususan nje ya mipaka ya Tanzania ikiwemo kufungua madarasa ya kufundisha kiswahili na kuimarisha ushirikiano na wadau binafsi wenye kuendesha vituo vya kiutamaduni vya kufundisha Kiswahili.”

Aidha, Waziri Mkuu amewaeleza waheshimiwa wabunge kuwa Serikali imekuwa na utekelezaji mzuri wa bajeti hadi kufikia asilimia 86.2 ambapo fedha za maendeleo zilizotolewa zinajumuisha shilingi trilioni 5.19 ya fedha za ndani na shilingi bilioni 167.1 ya fedha za nje na shilingi bilioni 443.7 ni fedha za Washirika wa Maendeleo zilizopelekwa moja kwa moja kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa Wananchi.

Aliongeza kuwa, utekelezaji huo wa bajeti umeenda sambamba na kukua kwa makusanyo ya kodi ambapo katika mwaka huu wa fedha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) iliweza kuvunja rekodi ya makusanyo ya kodi kwa kukusanya jumla ya Shilingi trilioni 2.3, sawa na asilimia 103.1 ya lengo, ikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kukusanywa na TRA kwa kipindi cha mwezi mmoja.

Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa kwa upande wa matumizi, ridhaa ya matumizi iliyotolewa katika kipindi cha Julai hadi Desemba 2020 ni shilingi trilioni 16.50 sawa na asilimia 90.5 ya lengo. “Kati ya kiasi hicho, shilingi trilioni 11.14 ni fedha za matumizi ya kawaida, sawa na asilimia 96.9 ya lengo na shilingi trilioni 5.36 ni fedha za maendeleo, sawa na asilimia 79.6.” Alisema na kuongeza.

“Nyote mtakubaliana nami kuwa tuna kila sababu ya kumshukuru na kumpongeza sana Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwenendo huo mzuri katika utekelezaji wa bajeti kwa kipindi cha Julai hadi Desemba 2021.”

Aliongeza kuwa mafanikio ya makusanyo na utekelezaji wa bajeti yametokana na Jitihada za Mheshimiwa Rais katika kuvutia uwekezaji, kuhamasisha utalii, biashara na kusimamia ukusanyaji wa mapato zimechangia kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya kodi na kuimarika kwa uchumi hapa Nhcini.

 

Akitoa pongezi kwa Utendaji wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Waziri Mkuu amewasihi Wabunge na Watanzania wote kwa ujumla kumuunga Mkono Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nia ya kuwaletea maendeleo Watanzania.

“Waswahili hunena mwenye macho haambiwi tazama. Sote tu mashuhuda wa mafanikio hayo sambamba na maeneo mengine ambayo kiuhalisia yanaakisi kazi nzuri inayofanywa na Nitoe wito kwa Watanzania wote kuendelea kumuunga mkono kwa moyo wa dhati ili aweze kutimiza azma yake ya dhati ya kujenga uchumi imara, shindani na endelevu” Alisema

 

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amewataka Watendaji wa TARURA kusimamia  kwa karibu na kwa umakini kazi zinazofanywa na wakandarasi kwa ajili ya kubaini mapema na kuchukua hatua stahiki za kisheria kwa mujibu wa mikataba na kutaka Ufuatiliaji ufanywe mara kwa mara ili miradi ikamilike katika muda uliopangwa na kwa ubora stahiki.

 

“Watumishi wa TARURA jiepusheni na kazi zenye mgongano wa maslahi. Kwa mantiki hiyo, ikiwa unataka kufanya biashara na Serikali wakati wewe ni mtumishi wa umma ni vyema ukaacha kazi ili ufanye biashara yako kwa ufanisi.” Alisema.

About the author

Alex Sonna