Featured Kitaifa

WAZIRI MASAUNI, BALOZI WA CANADA NCHINI WAJADILIANA MASUALA YA USHIRIKIANO JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akizungumza na Balozi wa Canada Nchini, Pamela O’Donnel kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Canada. Kikao hicho kilifanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akimsikiliza Balozi wa Canada Nchini, Pamela O’Donnel alipokuwa akizungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Canada katika Kikao kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akimuonyesha taarifa katika simu yake Balozi wa Canada Nchini, Pamela O’Donnel, wakati wa mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Canada katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Canada Nchini, Pamela O’Donnel, baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Canada katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

About the author

mzalendoeditor