Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Tumaini wilayani Iramba mkoani Singida, amesimamishwa masomo baada ya kubainika kuwa na ujauzito anaodai kupewa na baba yake wa kambo, Abdallah Itambu anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 65 hadi 70.

Mwanafunzi huyo amesema ujauzito ulibainika baada ya uongozi wa shule kumpima katika Zahanati ya Kinampanda na kwamba baba huyo alikuwa akimlazimisha kufanya tendo hilo muda wa mchana na jioni ambao mama yake anakuwa shambani.

CHANZO:Global TV

Previous articleLICHA YA KUSAMEHEWA ‘SIMBA YAMPA MASHARTI MAZITO MORRISON’
Next articleBINTI WA MIAKA 13 AUAWA KWA KUKATWA MAPANGA MOROGORO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here