Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA MABALOZI WA OACPS BRUSSELS NCHINI UBELGIJI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Mkutano wa  Mabalozi wa nchi Wanachama wa  Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific   (OACPS) uliofanyika katika Makao Makuu ya Umoja huo Brussels nchini Ubelgiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Mkutano wa  Mabalozi wa nchi Wanachama wa  Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific   (OACPS) uliofanyika katika Makao Makuu ya Umoja huo Brussels nchini Ubelgiji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni  katika Makao Makuu ya Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific   (OACPS) mara baada ya kuhutubia . 

PICHA NA IKULU

About the author

mzalendoeditor