Featured Kimataifa

Mwenyekiti Wa CCM Na Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Aongoza Kikao Cha Maalum Cha Kamati Kuu Ya CCM

Written by mzalendo

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo tarehe 20 Januari, 2022 katika ukumbi wa Halmashauri Kuu CCM White House Jijini Dodoma.

About the author

mzalendo