BREAKING NEWS:RAIS DK.MWINYI ATENGUA UTEUZI WA KAMISHNA MKUU WA ZRB

0
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Bodi ya Mapato Zanzibar...

TBS YATOA MAAGIZO KWA WASAFIRISHAJI WA BIDHAA ZA NJE YA NCHI

0
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bw.David Ndibalema akifungua Mkutano kati ya TBS na Wasafirishaji wa bidhaa za nje ya nchi...

MKE WA RAIS DK. MWINYI KUZINDUA TAASISI YA ZANZIBAR MAISHA BORA FOUNDATION

0
Afisa Mtendaji Mkuu Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mwanaidi Mohammed Ali akizungumza na Waandishi wa Habari kwa niaba ya Mke wa Rais wa...

KIKAO CHA SEKRETARIETI YA SJMT NA SMZ KINACHOSHUGHULIKIA MASUALA YA MUUNGANO CHAFANYIKA ZANZIBAR

0
Katibu Mkuu Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Bw. Thabit Idarous Faina akiongoza Kikao cha Sekretarieti ya...

WAZIRI MASAUNI, BALOZI WA CANADA NCHINI WAJADILIANA MASUALA YA USHIRIKIANO JIJINI DODOMA

0
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akizungumza na Balozi wa Canada Nchini, Pamela O'Donnel kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano...

‘WATANZANIA WENGI WANATUMIA TIBA ASILI KUJITIBU’-DKT.CAROLINE DAMIANI

0
Kaimu Mkurugenzi Idara ya tiba Dkt. Caroline Damian akieleza jambo wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Waganga wa tiba asili, Jijini Dodoma. Mkurugenzi Msaidizi wa...

WATENDAJI TARURA  WAMPA HEKO  RAIS SAMIA 

0
Wahandisi wa TARURA wilayani Nzega Mkoani Tabora wakikagua moja ya barabara za vijijini zilizojengwa mwaka huu ili kurahisisha usafiri na usafishaji mazao ya...

SERIKALI YAWAANGUKIA MACHIFU,WAZEE WA KIMILA KUHUSU MAUAJI

0
Baadhi ya Wazee wa Kimila Mkoani Tabora wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa huo Balozi Dkt Batilda Burian katika mkutano uliofanyika jana mjini hapa.   .................................................... Na Lucas...

BINTI WA MIAKA 13 AUAWA KWA KUKATWA MAPANGA MOROGORO

0
Morogoro.  Mwanafunzi wa darasa la saba shule ya msingi Mwenge iliyopo kata ya Kingolwira Manispaa ya Morogoro, Faidhat Ibrahimu (13) ameuawa kwa kukatwa mapanga na...

BABA ADAIWA KUMPA MIMBA BINTI YAKE,NI MWANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU

0
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Tumaini wilayani Iramba mkoani Singida, amesimamishwa masomo baada ya kubainika kuwa na ujauzito anaodai kupewa...