
Waziri Mkuu Mteule, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Jim Yonaz alipowasili kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 13, 2025. Kushoto ni Naibu Katibu, Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. James Kilabuko. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Mteule, Dkt. Mwigulu Nchemba akipongezwa na wabunge baada ya kuthibitishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu, Novemba 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)