Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

marmaris escort

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

ibizabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pokerklas giriş

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

DKT MWIGULU NCHEMBA ATETA NA WAWEKEZAJI KUTOKA UFARANSA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati wa mkutano na Ujumbe wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka Ufaransa (MEDEF) na Taasisi ya Biashara ya Ufaransa, uliofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa ujumbe huo Bw. Bw. Gerard Wolf.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati wa mkutano na Ujumbe wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka Ufaransa (MEDEF) na Taasisi ya Biashara ya Ufaransa, uliofanyika jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa ujumbe huo Bw. Bw. Gerard Wolf na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Samuel Shelukindo.

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), akizungumza wakati wa mkutano na Ujumbe wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka Ufaransa na Taasisi ya Biashara ya Ufaransa, uliofanyika  jijini  Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Samuel Shelukindo, Makamu Mwenyekiti wa ujumbe wa wawekezaji kutoka Ufaransa Bw. Gerard Wolf, kutoka kulia ni Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Nabil Hajlaoui na Mkurugenzi Mtendaji anaehusika na mauzo ya nje kutoka Ubalozi huo, Bw. Pedro Novo.

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa Ujumbe wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka Ufaransa (MEDEF) na Taasisi ya Biashara ya Ufaransa, Bw. Gerard Wolf wakati wamkutano wao uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Ujumbe wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka Ufaransa (MEDEF) na Taasisi ya Biashara ya Ufaransa wakimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt.  Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), wakati wa mkutano na Ujumbe wa Shirikisho hilo, uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akifurahia jambo na Makamu Mwenyekiti wa ujumbe wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka Ufaransa (MEDEF) na Taasisi ya Biashara ya Ufaransa, Bw. Gerard Wolf, wakati wa kikao kati ya Waziri wa Fedha na Mipango na ujumbe huo uliofanyika  jijini  Dar es Salaam.

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wa pili kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na meza kuu baada ya kumalizika kwa kikao chake na ujumbe wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka Ufaransa (MEDEF) na Taasisi ya Biashara ya Ufaransa, jinini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji anaehusika na mauzo ya nje kutoka Ubalozi wa Ufaransa, Bw. Pedro Novo, kushoto kwa Mhe. Dkt. Nchemba ni Makamu Mwenyekiti wa ujumbe huo, Bw. Gerard Wolf, Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Samuel Shelukindo na Balozi wa Ufaransa-Tanzania, Mhe. Nabil Hajlaoui, Jijini Dar es Salaam.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WFM – Dar es Salaam)

……………………………………….

Na Eva Ngowi, WFM, Dar es Salaam

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ametoa wito kwa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka Ufaransa (MEDEF) na Taasisi ya Biashara ya Ufaransa, kuwekeza nchini katika sekta mbalimbali ikiwemo kilimo cha mafuta ya kula.

Dkt. Nchemba ametoa rai hiyo jijini Dar es Salaam, alipokuna na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Shirikisho hilo unaouhusisha kampuni 41 uliopo nchini kwa mwaliko wa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alioutoa wakati wa ziara yake aliyoifanya nchini Ufaransa hivi karibuni.

Dkt. Nchemba alisema kuwa nchi inakabiliwa na uhaba wa mafuta ya kula kutokana na uzalishaji mdogo wa alizeti na mawese pamoja na athari za vita baina ya Urusi na Ukraine, vilivyosababisha bei ya mafuta kupaa na kwamba Serikali iko tayari kuwapa ardhi kwa ajili ya kilimo hicho.  

 “Kwa kuzingatia hali iliyotokea duniani baada ya uviko 19 na haya ambayo yanaendelea ya mzozo wa nchi mbili, Urusi na Ukrein, ambao ni wazalishaji wakubwa wa mafuta ya kula; nitoe wito kwa wawekezaji kuwa Tanzania inaweza kulisha dunia kwa suala la mafuta ya kula mkiwekeza kwenye eneo hilo” alisema Dkt. Nchemba

Alisema kuwa kuna mikoa zaidi ya nane inayofaa kwa uzalishaji wa mafuta ya alizeti na mikoa mingine zaidi ya minne inayofaa kwa kilimo cha mawese na kuwaalika wawekezaji hao kuchangamkia fursa hiyo ili kutosheleza soko la ndani na kuilisha dunia.

“Nchi ambazo zinazalisha sana mafuta ya kula, ukizilinganisha kwa fursa, hazijaifikia Tanzania; kwa hiyo tunachohitaji ni uwekezaji ili tuweze kufidia pengo lililopo katika dunia kwa sasa la upatikanaji wa mafuta ya kula” alisisitiza Mhe. Dkt. Nchemba.

Alitoa wito kwa wawekezaji hao kutoka Ufaransa kushirikiana na  kukutana na sekta binafsi ya Tanzania ili kungalia maeneo ya kuwekeza pia kwa pamoja na kwamba Serikali iko tayari kutoa ushirikiano wa kila hali ili kufaninikisha uwekezaji wao katika sekta mbalimbali walizojipanga kuja kuwekeza.

“Sisi Wizara ya Fedha na Mipango tumeifanyikazi changamoto ya utozaji kodi mara mbili na suala hilo liko hatua za mwisho za maamuzi, na tutatekeleza nyenzo ya blue print ili kutengeneza mazingira bora ya uwekezaji na kufanyia biashara; tunawahakikishia kwamba tutashirikiana na sekta binafsi kwa sababu sekta hiyo ndio injini ya kukua kwa uchumi” aliongeza Dkt. Nchemba.

Dkt. Nchemba, alisisitiza kuwa wawekezaji kutoka Ufaransa na kwingineko wanakaribishwa kuwekeza hapa nchini katika sekta mbalimbali kwa sababu kuna fursa nyingi za uwekezaji katika kilimo lakini pia katika sekta nyingine kama vile ujenzi wa miundombinu, maliasili, bandari, uvuvi na usafirishaji na kwamba kuna soko la uhakika hapa nchini, Afrika Mashariki na nchi za SADC, hatua itakayo saidia pia kukuza ajira kwa vijana.

Naye Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa aliyeambatana na ujumbe huo, Mhe. Samuel Shelukindo, alisema kuwa wawekezaji hao wameona fursa kubwa ya kuwekeza katika nyanja mbalimbali na kwamba wako tayari kuwashawishi wawekezaji wengine kuja kutafuta fursa hiyo ikiwemo sekta ya kilimo cha uzalishaji wa mafuta ya kula.

 “Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, alifanya ziara ya kikazi nchini Ufaransa tarehe 10 hadi 14 mwezi Februari mwaka huu na alikutana na wafanya biashara na wawekezaji ambapo katika mazungumzo yao aliwakaribisha Tanzania ili waangalie maeneo ya uwekezaji na kufanya biashara. Ujumbe huu mkubwa wa takribani makampuni 40 wamekuja kwa ajili ya kuitikia wito huo” alisema Mhe. Balozi Shelukindo.

Kwa Upande wa Makamu Mwenyekiti wa Ujumbe wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi ya Ufaransa (MEDEF) na Taasisi ya Biashara ya Ufaransa, Bw. Gerard Wolf, alisema  wamekuwa na mazungumzo na Mawaziri wa Sekta mbalimbali na kwamba wako tayari kuwekeza katika sekta mbalimbali nchini Tanzania likiwemo eneo la uchumi wa bluu, sekta ambayo alisema wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa nchini kwao.

Alizitaja sekta nyingine ambazo Shirikisho hilo limevutiwa nazo kuja kuwekeza kuwa ni nishati, maji, ujenzi wa miundombinu, teknolojia ya habari na mawasiliano pamoja na kilimo na kuahidi kuwa watapeleka ujumbe kwa kampuni nyingine zaidi ili zije kuwekeza kwenye kilimo cha alizeti na michikichi.

About the author

Alex Sonna