Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

TBS YAKUTANA NA WADAU WA VIPODOZI NCHINI

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi Mkuu wa TBS,Dkt.Athuman Ngenya akisistiza jambo wakati akifungua mkutano kati ya TBS na wadau wa vipodozi uliofanyika leo Mei 17,2022 katika ukumbi wa mikutano TBS Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa TBS,Dkt.Athuman Ngenya akizungumza katika mkutano kati ya TBS na wadau wa vipodozi uliofanyika leo Mei 17,2022 katika ukumbi wa mikutano TBS Jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora TBS, Bw.Gervas Kaisi akizungumza katika mkutano kati ya TBS na wadau wa vipodozi uliofanyika leo Mei 17,2022 katika ukumbi wa mikutano TBS Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wadau wa Vipodozi wakiwa kwenye mkutano na Shirika la Viwango Tanzania TBS kujadili masula mbalimbali yyanayohusu vipodozi, mkutano umefanyika leo Mei 17,2022 katika ukumbi wa mikutano TBS, Jijini Dar es Salaam

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

*********

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

KATIKA kudhibiti ubora na Usalama wa Vipodozi, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) hutumia viwango vya bidhaa husika na miongoni mwa viwango hivyo ni kiwango cha lazima (compulsory Standard) namba TZS 638:2014, ambacho pamoja na na mambo mengine kimeeleza viambato vinavyoruhusiwa kutumika kwa  kiasi maalum na vile visivyoruhusiwa kabisa katika uzalishaji wa vipodozi.

Ameyasema hayo leo Mei 17,2022 Mkurugenzi Mkuu wa TBS,Dkt.Athuman Ngenya wakati akifungua mkutano kati ya TBS na wadau wa vipodozi katika ukumbi wa mikutano TBS Jijini Dar es Salaam.

Amesema kwaa mujibu wa tafiti zilizofanyika hivi karibuni juu ya viambato ambavyo vinaruhusiwa kutumika kwa masharti ya kiasi maalumu, imebainika kwamba matumizi ya muda mrefu ya baadhi ya viambato hivyo yanaweza kusababisha madhara ya kiafya kwa watumiaji na hivyo kufikia uamuzi wa kuzuia matumizi ya viambato hivyo katika utengenezaji wa vipodozi.

“Viambato vilivyozuiwa vinafahamika kwa majina ya Zinc pyrithione, Butyphenyl methypropional na Sodium hydroxymethylglcinate”.  Amesema Dkt.Ngenya.

Aidha Dkt.Ngenya amesema pamoja na zuio hilo, Shirika limeona ni vyema zaidi kukutana na wadau husika kuweka uelewa wa pamoja kwa manufaa ya nchi na kuepusha madhara yanayoweza kutokea kutokana na matumizi ya bidhaa zenyeviambato hivyo.

About the author

Alex Sonna