Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AWASILI MKOANI TABORA KUANZA ZIARA YA SIKU TATU

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Tabora mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Tabora kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Kigwa, Igalula Mkoani Tabora alipokuwa njiani kutoka Kijiji cha Tura Wilaya ya Uyui kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa Barabara ya Nyahua_ Chaya.

About the author

mzalendoeditor