Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA MWENYEKITI WA CUF PROF. IBRAHIM LIPUMBA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba mara baada ya kufika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022.  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba pamoja na Viongozi wengine waandamizi wa chama hicho Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022.

About the author

mzalendoeditor