Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI MKENDA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUCHAPISHA VITABU, PRESS A NA PRESS B

Written by Alex Sonna

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda akisalimiana na baadhi ya watumishi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea Press A Magogoni na Press B leo Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea Press A Magogoni na Press B leo Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda akimsikiliza Mkuu wa kiwanda cha kuchapiaha vitabu cha PRESS B  Bw.Adonia Mpemba mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea Press A Magogoni na Press B leo Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda akiangalia namna uchapishaji wa vitabu vya uono hafifu ukifanyika mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea Press A Magogoni na Press B leo Jijini Dar es SalaamWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda akitazama baadhi ya vitabu vilivyochapishwa katika kiwanda cha Press A mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea Press A Magogoni na Press B leo Jijini Dar es SalaamWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda akitazama moja ya kitabu kilichochapwa katika kitui cha Press A Magogoni mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea kituo hicho na Press B leo Jijini Dar es SalaamWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda akimsikiliza Mkuu wa kiwanda cha PRESS A Bw.John Kaswalala Jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea Press A Magogoni na Press B leo Jijini Dar es Salaam

*******************

SERIKALI inatumia shilingi Bilioni 15 kila mwaka kuchapisha vitabu vya nukta nundu vinavyotumiwa na wanafunzi wasioona na wenye uoni hafifu.

Hiyo inatokana na malighafi ya karatasi inayotumika kuchapa inanunuliwa Dubai na Marekani.

Ameyasema hayo leo Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda wakati akifanya ziara ya kutembelea vituo vya kuchapisha vitabu ambapo ametembelea kituo cha Press A Magogoni na Press B kilichopo shule ya Uhuru Mchanganyiko Jijini Dar es Salaam.

Aidha Prof.Mkenda ameitaka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuweka mkakati ndani ya mwaka mmoja iwe imepata mashine kubwa ya kuchapa na kutafuta tenda nafuu ya malighafi ya karatasi.

“Dubai ni Jangwani, hakuna miti wakati hawazalishi karatasi, sisi tunaenda kuchapa huko kwa fedha nyingi, nataka na sisi tukanunue malighafi huko wanakonunua wao tuchapishe wenyewe.”Amesema Prof.Mkenda.

“Wafadhili wanaotupatia fedha masharti tenda ya kuchapa itangazwe kimataifa, sasa badala sisi tutangaze tenda ya kuchapiwa bora tutangaze tenda ya kupata mashine kubwa ya kisasa hii itapunguza gharama.” Amesisitiza

Amesema mashine kubwa zaidi ya uchapaji huuzwa shilingi bilioni 30, hivyo watazungumza na wafadhili kuwaeleza wafanikishe hilo, kwani wanatekeleza manunuzi ya kimataifa ikiwa ni moja ya sharti la wafadhili hao.

Amesema serikali imedhamiria kuimarisha uchapishaji kwa kuiwezesha TET kupata karatasi kwa bei nafuu, umeme wa uhakika na mashine kubwa ya kisasa ya uchapaji.

Kupitia fedha za Covid 19 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu imewezesha TET kuchapa vitabu vya nukta nundu vyote vya kidato cha kwanza hadi cha sita.

Kwa upande wa Mkurugenzi wa TET Dkt. Aneth Kombat akizungumza awake amesema sababu ya kutochapa nchini ni gharama kubwa ya karatasi, kutokuwepo kwa umeme wa uhakika na wa bei nafuu na mitambo ya kutosha kumudu uchapaji kulingana na mahitaji

Amesema Kiwanda cha uchapaji cha Press A Magogoni ni moja kati ya viwanda saba vya taasisi hiyo na walikabidhiwa na wizara tangu mwaka 2019.

“Kiwanda hiki kinatumika kuchapa muongozo wa walimu darasa la awali hadi la saba na kwa mwaka huchapa vitabu milioni tatu ukihusisha na vya wenye uoni hafifu.”Amesema

Pamoja na hayo amesema mahitaji ya vitabu hivyo yanakidhi ambapo wenye uoni hafifu wastani wa vitabu vitatu kwa mwanafunzi mmoja

About the author

Alex Sonna