Featured Kitaifa

DKT.NCHIMBI KUWAHUTUBIA WANANCHI SUMBAWANGA MJINI

Written by Alex Sonna
MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasili kwenye uwanja wa Majengo,Jimbo la Sumbawanga mjini kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi kwenye mkutano wake wa Kampeni leo Septemba 9,2025 mkoani Rukwa.






About the author

Alex Sonna