Featured Kitaifa

SPIKA DKT.TULIA ATETA NA NAIBU MNADHIMU WA KWANZA WA SERIKALI BUNGENI KUTOKA BUNGE LA GHANA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Ghana ukiongozwa na Naibu Mnadhimu wa Kwanza wa Serikali Bungeni, Mhe. Habib Iddrissu (kulia kwake) ulipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Mei 10, 2022

 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Naibu Mnadhimu wa Kwanza wa Serikali Bungeni kutoka Bunge la Ghana, Mhe. Habib Iddrissu (katikati) na Naibu Mnadhimu Mkuu wa kambi ya walio wachache kutoka Bunge la Ghana, Mhe. Ahmed Ibrahim pale ugeni kutoka Bunge hilo ulipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Mei 10, 2022

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor