Uncategorized

JOHN JOHN NCHIMBI AJITOSA UBUNGE JIMBO LA NYASA

Written by mzalendoeditor

 

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, John John Nchimbi,leo Juni 28,2025 amechukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Nyasa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu ujao, Ndugu John amechukua fomu hiyo kwenye Ofisi kuu ya Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma

About the author

mzalendoeditor