Featured • Kitaifa MHANDISI JAMES JUMBE ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SHINYANGA MJINI 4 months agoby Alex Sonna42 Views Written by Alex Sonna Mhandisi James Jumbe Wiswa akionesha Fomu ya Maombi ya Kugombea Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Juni 28,2025 baada ya kuchukua katika ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga Mjini FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn