Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

URASIMISHAJI ARDHI KUPITIA MKURABITA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI NA KUONGEZA FURSA ZA AJIRA WILAYANI BAHI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Msisi, wilayani Bahi, mkoani Dodoma wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kutoa hatimiliki za kimila na kuweka mawe ya msingi kwenye ofisi za masijala zilizojengwa na MKURABITA wilayani Bahi.

Wananchi wa Kijiji cha Msisi, wilayani Bahi, mkoani Dodoma wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kutoa hatimiliki za kimila na kuweka mawe ya msingi kwenye ofisi za masijala zilizojengwa na MKURABITA wilayani Bahi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Makanda, wilayani Bahi, mkoani Dodoma wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kutoa hatimiliki za kimila na kuweka mawe ya msingi kwenye ofisi za masijala zilizojengwa na MKURABITA wilayani Bahi.

Wananchi wa Kijiji cha Makanda, wilayani Bahi, mkoani Dodoma wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kutoa hatimiliki za kimila na kuweka mawe ya msingi kwenye ofisi za masijala zilizojengwa na MKURABITA wilayani Bahi.

Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Mhe. Mwanahamisi Mkunda akizungumzia utekelezaji wa MKURABITA kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama kuzungumza na wananchi wa Kijiji cha Msisi wilayani Bahi wakati wa ziara ya kikazi ya Mhe. Jenista iliyolenga kutoa hatimiliki za kimila na kuweka mawe ya msingi kwenye ofisi za masijala zilizojengwa na MKURABITA wilayani Bahi.

Mratibu wa MKURABITA, Dkt. Seraphia Mgembe akitoa taarifa ya utekelezaji wa MKURABITA kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama wakati wa ziara ya kikazi ya Mhe. Jenista iliyolenga kutoa hatimiliki za kimila na kuweka mawe ya msingi kwenye ofisi za masijala zilizojengwa na MKURABITA wilayani Bahi.

Mwakilishi wa Meneja wa NMB-Bahi, Bw. Benson Mwande akimthibitishia Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama kuwa NMB inazitambua hatimiliki za kimila zinazotolewa na MKURABITA wakati wa ziara ya kikazi ya Mhe. Jenista iliyolenga kutoa hatimiliki za kimila na kuweka mawe ya msingi kwenye ofisi za masijala zilizojengwa na MKURABITA wilayani Bahi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akitoa hatimiliki za kimila kwa mmoja wa wananchi wa Kijiji cha Makanda wilayani Bahi wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kutoa hatimiliki za kimila na kuweka mawe ya msingi kwenye ofisi za masijala zilizojengwa na MKURABITA wilayani Bahi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiweka jiwe la msingi kwenye ofisi ya masijali ya Kijiji cha Makanda wilayani Bahi wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kutoa hatimiliki za kimila na kuweka mawe ya msingi kwenye ofisi za masijala zilizojengwa na MKURABITA wilayani Bahi.

Mwonekano wa ofisi ya masijala ya Kijiji cha Msisi wilayani Bahi iliyojengwa na MKURABITA.

……………………………………………………..

Na. James K. Mwanamyoto-Bahi

Urasimishaji wa ardhi, utoaji wa hatimiliki za kimila na ukamilishaji wa ujenzi wa ofisi za masijala unaofanywa kupitia Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) katika vijiji vya Msisi na Makanda wilayani Bahi utasaidia kutatua migogoro ya ardhi na kutoa fursa za ajira katika vijiji hivyo.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama akiwa kwenye ziara yake ya kikazi iliyolenga kutoa hatimiliki na kuweka mawe ya msingi kwenye ofisi za vijiji vya Msisi na Makanda zilizojengwa na MKURABITA katika vijiji hivyo.

Mhe. Jenista amesema, ujenzi wa masijala na urasimishaji uliofanywa wilayani Bahi utawezesha utunzaji mzuri wa kumbukumbu utakaosaidia kuondoa migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji na baina ya mtu na mtu na kuongeza kuwa, Serikali inataka urasimishaji huo uondoe kabisa migogoro ya ardhi.

Sanjali na hilo, Waziri Jenista ameeleza kuwa, urasimishaji ardhi na utoaji wa hatimiliki za kimila kwa wananchi wa vijiji vya Msisi na Makanda umeongeza wigo wa ajira kwa vijana, akina mama na hata wazee kwani hatimiliki walizopatiwa zinawapa fursa ya kukopa kwenye taasisi za kifedha ili kuendesha shughuli za kilimo na ujasiriamali walizopanga kuzifanya.

“Wananchi watakaotumia hati hizo kukopa ili kupata mitaji watalazimika kupata nguvu kazi, na uhitaji huo wa nguvu kazi utatoa fursa za ajira, kama ni shamba litahitaji nguvu kazi na hata kama mkopaji atabuni mradi mwingine tofauti na kilimo atahitaji pia nguvu kazi hivyo ataajiri tu,” Mhe. Jenista amefafanua.

Akizungumzia ukusanyaji wa mapato Serikalini, Mhe. Jenista amesema kuwa urasimishaji ardhi una faida kubwa katika kuongeza mapato ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi na sio kwenye halmashauri tu kwani mwisho wa siku yanaongeza pato la taifa.

Aidha, Mhe. Jenista amesema kuwa urasimishaji wa ardhi uliofanyika umewezesha utoaji wa hati kwa wanawake na wanaume, hivyo kuondoa dhana potofu ya unyanyasaji wa wanawake katika suala la umiliki wa ardhi kwenye vijiji vya Msisi na Makanda wilayani Bahi.

“Utoaji wa hati hizi kwa wanawake na wanaume unadhihirisha kuwa kwenye suala la umiliki wa ardhi wote wana haki sawa, hivyo umeondoa mila ya unyanyasaji wa kijinsia kwenye umiliki wa ardhi,” Mhe. Jenista amesisitiza. 

Kwa upande wake, Mratibu wa MKURABITA Dkt. Seraphia Mgembe amesema ofisi yake imetumia muda mfupi sana kupima mashamba 1483 kwenye Kijiji cha Msisi wilayani Bahi na kuongeza kuwa upimaji huo uwemewezekana kwasababu wananchi wa kijiji hicho wametoa ushiririkiano wa kutosha.

Dkt. Seraphia amesema, wananchi waliokabidhiwa hati wamepata ufunguo wa kufunga mlango wa umaskini na kufungua mlango wa utajiri iwapo watazitumia hati hizo kuomba mikopo ya kuendesha shughuli za kilimo na ujasiriamali ili kunyanyua maisha yao kiuchumi.

Naye, Mwakilishi wa Meneja wa NMB tawi la Bahi, Bw. Benson Mwande amemthibitishia Waziri Jenista na wananchi wa vijiji vya Msisi na Makanda kuwa hati walizokabidhiwa zinatambuliwa na benki yao na kuongeza kuwa, mpaka sasa wananchi 15 wameomba mikopo na 15 wengine wameomba kufungua akaunti katika benki hiyo tawi la Bahi.

“Siku ya Jumatano tarehe 05 Mei, 2022 NMB tutakuja katika Kijiji cha Msisi kwa ajili ya kutoa huduma za kukopesha na kufungua akauti kwa wananchi waliopatiwa hati za hakimiliki za kimila,” Bw. Mwande amesisitiza.

Utekelezaji wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) unaofanyika katika maeneo mbalimbali nchini umepewa kipaumbele na Serikali ya Awamu ya Sita ili kuboresha Maisha ya wananchi wenye kipato cha chini kwa kurasimisha ardhi na biashara zao.

About the author

Alex Sonna