Featured Kitaifa

WAZIRI SIMBACHAWENE ATEMBELEA BANDA LA PBPA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

 

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais  Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. George Simbachawene,akipata maelezo kutoka kwa Afisa Logistiki wa Mafuta Bi. Hilda Kowero mara baada ya kutembelea banda la Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA)  wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais  Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. George Simbachawene,akipokea zawadi katika banda la PBPA  mara baada ya kutembelea banda la Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA)  wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.

WANANCHI mbalimbali wakipata elimu katika  banda la Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA)  wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.

About the author

mzalendoeditor