Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Featured Kitaifa

WATANZANIA WATAKIWA KUDUMISHA MUUNGANO

Written by Alex Sonna

 

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali wakati wa Kikao cha 32 cha Mkutano 19 wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 26, 2025.

……

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewataka baadhi ya wananchi wanaopotosha kuhusu Muungano kuacha vitendo na badala yake waulinde na kuuenzi kwani umeleta manufaa makubwa.

Ametoa wito huo bungeni jijini Dodoma leo Mei 26, 2025 wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Maryam Azan Mwinyi aliyetaka kujua nini kauli ya Serikali kuhusu kuwepo kwa wimbi la upotoshaji wa Muungano.

Akiendelea kujibu swali hilo Naibu Waziri Khamis amesema pamoja na hatua mbalimbali Serikali inaendelea kutoa elimu kwa wananchi kwa kutumia njia mbalimbali zikiwemo vyombo habari.

“Kuna watu wanapotosha kuhusu chimbuko, maendeleo na ukweli kuhusu Muungano huu, niwaambie tu wananchi waache kubeza Muungano kwani hapa tulipo ni kwasababu ya nguvu kubwa ya Muungano huu,” alisema.

Hivyo, kutokana na changamoto hiyo ya baadhi ya wananchi kutofikiwa na elimu hiyo, alisema Ofisi ya Makamu wa Rais imechukua hatua ya kutoa elimu kupitia makongamano, vipindi vya redio na televisheni ili wananchi wafahamu ukweli kuhusu Muungano huu adhimu.

Aidha, Mhe. Khamis akijibu swali Mbunge huyo kuhusu taasisi ngapi zimefungua ofisi zake Zanzibar, alisema kuwa jumla ya taasisi za Muungano 33 zimefungua ofisi na kuanza kutoa huduma kwa upande wa Zanzibar ambayo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano.

Alitaja baadhi ya taasisi hizo kuwa ni Jeshi la Polisi, Uhamiaji, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na nyinginezo.

Awali, Naibu Waziri Khamis alisema Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania (SJMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) zimeweka utaratibu wa kutatua changamoto hizo kupitia mfumo rasmi wa vikao vya Kamati ya Pamoja ya SJMT na SMZ ya kushughulikia masuala ya Muungano.

Alitoa ufafanuzi huo wakati akijibu swali la msingi la Mhe. Maryam aliyeuliza Serikali ina mpango gani wa kumaliza kero za Muungano zilizobaki ikizingatiwa kuwa imefanya kazi kubwa hadi kubakiza kero nne.

Akiendelea kujibu swali hilo alisema lengo la vikao hivi ni kuhakikisha changamoto zote zinapatiwa ufumbuzi wa kudumu ambapo imesaidia kwa kiasi kikubwa kumaliza changamoto 22 kati ya 25 zilizoibuliwa tangu mwaka 2006.

Alisema Serikali zote mbili zinaendelea kuratibu vikao vya Kamati ya Pamoja ya SJMT na SMZ ambapo Kikao cha Kamati hiyo kilifanyika Aprili 4, 2025 Ikulu Dar-es Salaam kujadili hoja nne za Muungano zilizosalia na hatua mbalimbali za utatuzi zinaendelea.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali wakati wa Kikao cha 32 cha Mkutano 19 wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 26, 2025.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (kulia) akishiriki Kikao cha 32 cha Mkutano 19 wa Bunge jijini Dodoma leo tarehe Mei 26, 2025. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (katikati) akiteta jambo na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga wakati wa Kikao cha 32 cha Mkutano 19 wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 26, 2025. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderianaanga.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (katikati) akiteta jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba wakati wa Kikao cha 32 cha Mkutano 19 wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 26, 2025. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga.

About the author

Alex Sonna