Featured • Kimataifa RAIS SAMIA AKISAINI KITABU CHA MTOTO ADA MKAZI WA COLUMBIA WASHINGTON DC MAREKANI 3 years agoby mzalendoeditor47 Views Written by mzalendoeditor Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kusaini kitabu cha Mtoto wa Kitanzania Ada Marie Kemilembe (9) mkazi wa Columbia, Maryland, alipokutana nae Jijini Washington DC Nchini Marekani. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn